Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja
na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa
Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (PLA) Jenerali
Fan Changlong mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wengine katika picha ni Maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Watu wa China(PLA)
pamoja na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
(PICHA NA
IKULU)
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumkaribisha
Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa
China Jenerali Fan Changlong mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na ujumbe wake akiongoza
mazungumzo rasmi na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la
Ukombozi la Watu wa China (PLA) Jenerali Fan Changlong aliyeambatana pia na
ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange kwa mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa
Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Jenerali Fan
Changlong mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment