Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na Watendaji
Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya
Hifadhi za Mistitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016. (PICHA NA
OFISI YA WAZIRI MKUU)
Baadhi ya Watendaji Wakuu
wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Misitu
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao
Ofisini kwake mjini Dodoma, Novemba 21, 2016
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na Watendaji
Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya
Hifadhi za Mistitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016. Kulia
kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa Novemba 21, 2016 asubuhi aliamua kutembea kwa mguu
kutoka makazi yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake
barabara ya Reli mjini Dodoma . Pichani, Mheshimwa Majaliwa akiwa na wasaidizi wake akilekea
Ofisini kwake. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments :
Post a Comment