Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Bodi mpya ya
Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) aliyoizindua leo jijini Dar es Salaam. Wa
pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. John Kondoro.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akimkabidhi vitendea kazi
Mwenyekiti mpya wa bodi ya TRL, Profesa John Kondoro alipozindua bodi
hiyo jijini Dar es Salaam leo .
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa akimwonyesha Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, moja ya mabehewa
yaliyokarabatiwa na Kampuni hiyo alipotembelea karakana ya reli jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa akifafanua jambo wakati wa Mkutano
wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa
na wafanyakazi wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa wafayakazi wa
TRL alipoongea nao jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa.Kulia ni Mwenyekiti ya
Bodi ya TRL, Prof. John Kondoro.
Wafanyakazi wa kampuni ya Reli
Tanzania (TRL), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Profesa Makame Mbarawa ( hayupo pichani), alipoongea nao leo mchana
jijiini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA BENJAMIN SAWE-MAELEZO
No comments :
Post a Comment