Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akizungumza wakati wakati
akifungua rasmi mkutano wa maadhimisho ya siku ya Bima uliofanyika
kwenye ukumbi wa JNCC jijini Dar es salaam ukishirikisha wadau
mbalimbali wanaojishughulisha na masuala ya Bima
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
bima ya MGen Tanzania Bw. Charles Sumbwe akizungumza katika mkutano huo
uliofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Bi. Susan Mlawi akimkabidhi cheti Bw. Lugano Mkisi kutoka Kampuni
ya MGen Tanzania Katikati ni Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa
Shughuli za Bima nchini (TIRA) Bw. Israel Kamuzora
Baadhi ya wadau wa Bima wakiwa katika mkutano huo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
bima ya MGen Tanzania Bw. Charles Sumbwe aliyesimama nyuma,Mkuu wa
Masoko MGen Tanzania Bw. Lugano Mkisi kushoto na baadhi ya wadau wa
bima wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments :
Post a Comment