Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Wapili Kulia)
akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo
ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo jijini Dar es
Salaam, Novemba 15, 2016.
Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Neema C.
John (Kushoto) akisoma agenda za Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya
Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo.
Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Benki ya Maendeleo ya
Kilimo Tanzania (TADB) wakifuatilia Mkutano huo.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Benki ya Maendeleo ya
Kilimo Tanzania (TADB) wakifuatilia Mkutano huo.
Mmoja wa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bw.
Migangala S. Milenge (Katikati) akichangia mada wakati wa Mkutano wa Mwaka wa
Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika
Ukumbi wa Benki hiyo. Wengine pichani ni wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Benki hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi
Rosebuld V. Kurwijila (Kulia) akifafaua hoja mbalimbali wakati wa Mkutano huo.
Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB
wakifuatilia Mkutano huo.
Picha ya pamoja
No comments :
Post a Comment