Monday, November 28, 2016

KIGWANGALA :SERIKALI KUAJIRI MAAFISA USTAWI WA JAMII WOTE NA KUWAPELEKEA KUFANYA KAZI KATIKA VIJIJI NA KATA

kigwa
  Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia
Wazee na Watoto Hamis Kigwangalla Akiwa anamtunuku mmoja wa mwanafunzi
wa shahada ya uzamini  aliyejulikana kwa jina la Anna
  Baadhi ya Wanafunzi waliohitimu
fani za astashahada, shahada ya kwanza
na stashahada ya uzamili ya maendeleo ya jamii katika chuo cha Taasisi ya
Maendeleo ya Jamii Tenguru wakiwa wanajiself na naibu waziri mara
baada ya mahafali hayo
kumalizika
 wanafunzi waliofanya vizuri zaidi shuleni
hapo waliosimama nyuma wakiwa katika picha ya pamoja na naibu waziri
pamoja na bodi ya chuo hicho


 Naibu waziri akiongea na waandishi wa
habari  mara baada ya mahafali kumalizika wa kwanza kulia
ni 
Mkuu wa
Tasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru Anatory Bunduki wakwanza kushoto
ni kaimu  mwenyekiti wa bodi  ya taasisi hiyo Dr,Rosemarie
Mwaipopo
 wahitimu   wakiwa katika nyuso za
furaha


 Wakwanza kushoto ni mkuu wa taasisi ya
maendeleo ya jamii Tengeru
Anatory Bunduki akiteta
jambo  na  Naibu waziri
Kigwangala


 maandamano yakiwa
yanaingia katika eneo la shule kwa ajili ya mahafali








baadhi ya
walimu wakiwa katika maandamano hayo

No comments :

Post a Comment