Mkurugenzi wa Mradi wa jengo la
tatu la abiria (Terminal III), kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA), Eng. Mohammed Milanga, akitoa taarifa ya maendeleo ya
ujenzi wa jengo la tatu la abiria kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga
(kushoto), alipokagua maendeleo ya mradi huo.
Meneja Mradi wa BAM International
ya Uholanzi, Erick Van Zuthem, akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph
Nyamhanga (kulia), alipokagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la tatu la
abiria (Terminal III), jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga, akitoa
maelekezo kwa Mkurugenzi wa Mradi wa jengo la tatu la abiria (Terminal
III), kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Eng. Mohammed
Milanga, alipokuwa akikagua mradi huo, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mradi wa jengo la
tatu la abiria (Terminal III), kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA), Eng. Mohammed Milanga, akitoa maelezo ya maendeleo ya
ujenzi wa jengo hilo upande wa kushukia abiria kwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph
Nyamhanga (kushoto), alipokagua maendeleo ya mradi huo.
Mafundi wa umeme wakiendelea na
kazi ya ujenzi wa jengo la tatu la abiria (Terminal III), jijini Dar es
Salaam. Jengo hilo likikamilika litakuwa na uwezo wa kuchukua ndege 21
kwa wakati mmoja na abiria milioni 6.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga,
akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Mradi wa jengo la tatu la abiria
(Terminal III), kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Eng.
Mohammed Milanga, alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la
tatu la abiria (Terminal III), jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment