Thursday, November 24, 2016

KAMPUNI YA WHITEDENT YAKABIDHI MAGARI 25 KWA WASHINDI WA BAHATI NASIBU NCHINI TANZANIA.

whit3
Na.Alex Mathias,Dar es salaam.
Kampuni ya Whitedent nchini Tanzania imekabidhi magari manne aina ya Suzuki Alto K10 kwa washinda wa promosheni ya miezi mitatu iliyokuwa inasherekea kuadhimisha miaka 25 ya bidhaa hiyo ambayo imefanyika na mikoa mbalimbali na kutoa jumla ya magari 25.
Akizungumza na katika hafla hiyo ya makabidhiano yaliyofanyika maeneo ya Mabibo jijini Dar es salaam,Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Chemi & Cotex Raja Swaminatha amesema kuwa Shindano hilo lililokuwa chini ya uangalizi mkubwa na wa makini wa bodi ya bahati Nasibu Tanzania lililochukua miezi mitatu na kushirikisha mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.

Anamalizia kwa kusema kuwa katika bidhaa za afya ya ngozi wana Bannisters Glycerine inayotumika kila siku na familia katika kutunza ngozin na pia wana bidhaa nyingine inayoongoza katika utunzaji wa ngozi kama Sweetheart,U&ME,Siri,Bodyline na Zawadi Zanzibar na Chemi & Cotex ina bidhaa za utunzwaji nywele chini ya Tressa.
whit2

No comments :

Post a Comment