Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Kamishna
Diwani Athumani baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs)
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.(PICHA NA IKULU)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna
Diwani Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAS) Ikulu jijini Dar es
salaam leo Novemba 22, 2016.
Katibu wa Maadili ya Viongozi – Siasa, Bw.
Waziri Kipacha akimuongoza Kamishna Diwani Athumani kula
kiapo cha uadilifu cha viongozi wa umma baada ya kuapishwa
kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu jijini Dar es salaam leo
Novemba 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kamishna Diwani Athumani pamoja na viongozi waandamizi wa serikali na vyombo vya ulinzi na usalama umma baada ya Kamishna Diwani kuapishwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016
No comments :
Post a Comment