Tuesday, September 6, 2016

UKAWA WAREJEA BUNGENI, WAKATI BUNGE LA 11 LIKIANZA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA L



 Mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA), Godbless Lema, (kushoto), na Naibu Waziri wa Elimu, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Injinia Stella Manyanya, wakiwasili bungeni
 Baadhi ya wabunge wakielekea kwenye ukumbi wa bunge leo Septemba 6, 2016
 Spika wa Bunge Job Ndugai, akiongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa 11 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniamjini Dodoma, Septemba 6, 2016
 Bunge likiendelea
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Said Jafo, akizungumza bungeni mjini Dodoma leo Septemba 6, 2016. Naibu waziri huyo alinusurika kifokwenye ajali yagari mkoani Mbeya jana Septemba 5, 2016, baada ya gari lake kugongwa na gari lingine upande anaokaa yeye ambapo licha ya tairi kuchomoka kitufe cha usalama, (Safety bag) cha gari hilo nacho kilifyatuka kumkinga asidhurike
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, wakijadiliana jambo bungeni leo
(PICHA NA HASSAN SILAYO WA MAELEZO)

No comments :

Post a Comment