Thursday, September 1, 2016

KUPATWA KWA JUA RUJEWA, MAELFU WAANZA KUSHUHUDIA TUKIO HILO LA KIHISTORIA

Hivi ndivya hali ilivyokuwa baada ya juwa kupatwa matukio tofauti yakionyesha lilipokuwa likipatwa na kuachiwa.
5



1
Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Geofrey Meena akiangalia tukio la kupatwa kwa jua kwa miwani maalum wakati wa kushuhudia tukio hilo katika eneo la Taraza Relini Rujewa wilayani Mbarali.
2
Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey Meena kulia pamoja na pamoja na wafanyakazi wenzake wa TTB kutoka kulia Gladstone MlayMkuu wa Utalii Kanda ya Ziwa , Irene MvileAfisa Utalii Habari na ErnestMususa Mhasibu wakishuhudia tukio hilo kwa pamoja.
3
Mkurugenzi wa Fullshangwe Bw. John Bukuku hakuwa nyuma ili kushuhudia tukio hilo pia
6
Mkuu wa Mawasiliano TTB eofrey Tengeneza akizungumza na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika eneo hilo ili kushuhudia tukio hilo.
7
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala akiwa pamoja na viongozi wa mkoa huo Katikati Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw William Ntinika na Mbunge wa jimbo la Mbarali.
8
Mkuu wa mkoa wa Songwe Mh. Chiku Galawa akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa Mstaafu Bw.Eraston Mbwilo.
9
Baadhi ya wanafunzi wakishuhudia tukio hilo.
10 11
Mwananchi wa Rujewa Kennedy Lutambi akishuhudia tukio hilo.
13
Mwandishi wa Gazeti la Uhuru Issa Mohammed naye hakuwa nyuma kushuhudia tukio hilo adimu.
5
Hivi ndivya hali ilivyokuwa baada ya juwa kupatwa matukio tofauti yakionyesha lilipokuwa likipatwa na kuachiwa.
14 15 16 18
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-RUJEWA-MBEYA)

 Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makala, (Kulia), Meneja Uhusiano wa TANAPA, Pascal Shelutete (katikati) na Mkuuwa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa, wakitumia miwani maalum kuona tukiola kupatwa kwa jua huko Mbarali mkoani Mbeya hivi sasa Septemba 1, 2016
Pascal akitazama kupatwa kwa jua

TUKIO la kupatwa kwa jua limeanza kutokea hapa nchini, na kwa karibu asilimia 90, tukio hilo imeelezwa na wataalamulitaonekana kwa uwazizaidi.
Hapa Dares Salaam, pana halikama ya ugiza wa mawingu, lakini tayari tukio hilo wakazi wa mikoa ya nyanda za juu Kuisni hususan Rujewa ambako Mamlaka za bodiya Utalii nchini, imeandaa Rujewa kuwa kama sehemu maalum ya watalii wa ndani na nje kujikusanya ili kushuhudia tukio hilo linalotokea kwa nadra sana Duniani.
Kupatwa kwa jua kwa mujibu wa wataalamu, ni pale Mwezi unapokaa katikati ya Juan a Dunia, na kusababisha miali ya jua kutoangaza vema Dunia.
Tukiohilo lililoanza mishale ya saa nne na nusu, linatarajiwa kufukia ukingoni majira ya mchana.

 Wanafunzi na wananchi wengine wakiwa huko Rujewa mkoni Mbeya wakishuhudia tukio hilo


Kamishna Msaidizi wa Polisi Fortunatus Musilimu Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu (kushoto),akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Fasta Fasta, Prasada Acharya waandaaji wa Tamasha la Pamoja Carnival linalotarajiwa kufanyika Septemba 24 mwaka huu kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, wakati wa utambulisho wa huduma ya usafiri wa haraka na salamakwa njia ya mtandao jana



Viongozi wa ambao ni waandaaji wa Tamasha la Pamoja Carnival wakifuatilia maelezo kuhusu tamasha hilo, wakati yakiwasilishwa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.


1
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akiagana na Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey Meena Kiongozi wa Msafara wa Watalii wa Ndani na waandishi wa habari wanaotoka Dar es salaam kwenda Rujewa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua ambapo wageni mbalimbali pamoja na wanahabari kutoka vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa wako mkoani humo kwa ajili ya kushuhudia tukio hilo nadra kutokea duniani.
2
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii TTB Bi. Devotha Mdachi wakiagana na Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey Meena pamoja na Antonio Nugas Mtembezi kutoka Clouds Media Viongozi wa Msafara wa Watalii wa Ndani na waandishi wa habari wanaokwenda Rujewa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua.
3
Baadhi ya wapiga picha wa vyombo vya habari hapa nchini wakiendelea na kazi yao wakati msafara huo ukiondoka jijini Dar es salaam.
4
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Bi. Devotha Mdachi wakielekea kwenye gari kwa ajili ya kuwaaga baadhi ya watalii wa Ndani na waandishi wa habari wanaokwenda Rujewa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua wakitokea jijini Dar es salaam.
5
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akizungumza na waandishi wa habari na kuwapa maneno kadhaa wakati akiwaaga baadhi ya watalii wa Ndani na waandishi wa habari wanaokwenda Rujewa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua wakitokea jijini Dar es salaam.
6
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akizungumza na waandishi wa habari
7 8
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akizungumza na waandishi wa habari, kulia ni Bi. Devotha Mdachi Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii TTB na kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Clouds Baby Kabaya na Mkurugenzi wa Masoko TTB Bw. Philip Chitaunga,
10
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akiasalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Bodi ya Utalii TTB.
12
Kulia ni Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey Meena na kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TTB Bw. Geofrey Tengeneza na Mkurugenzi wa Masoko TTB Bw. Philip Chitaunga.


Mshiriki wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma Kutoka nchini Kenya Dkt. Rebecca Oenga akitoa uzoefu wa nchi ya Kenya katika kukabiliana na Trakoma  kwenye maeneo ya mipakani  ya jamii za wafugaji.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kupambana na Trakoma (ITI) akizungumza na washiriki wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma kuhusu uendelezaji wa juhudi za kuwaelimisha wananchi na kutoa tiba katika maeneo  yanakabiliwa na ugonjwa Trakoma kwa nchi washiriki wa mkutano huo kutoka Kenya, Tanzania, Uganda, Ethiopia, Eritrea, Sudani na Sudani Kusini.

Mratibu wa Taifa wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto  Dkt. Upendo John Mwingira akiwasilisha Mada kuhusu mkakati wa Tanzania wa kukabiliana na Trakoma kwa kuyafikia maeneo yasiyofikika kirahisi ya jamii za wafugaji nchini Tanzania wakati Mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo  unaofanyika  jijini Arusha. Wananchi kutoka Jamii za wafugaji kutoka nchi washiriki wa mkutano huo bado wanakabiliwa na changamoto ya ugonjwa wa Trakoma.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dkt. Frida Mokiti akichangia wakati wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini Arusha.
 
Afisa Afya kutoka Kaunti ya NAROK nchini Kenya Daniel Sironka akitoa mchango wake kuhusu namna anavyowaelimisha wananchi wa eneo lake kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Trakoma wakati wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Miradi wa Shirika la Sightsavers, Michael Kelly (katikati) akisisitiza jambo kuhusu ushiriki wa Sightsavers katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma wakati wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini Arusha.
Washiriki wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Arusha.
 Washiriki wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Arusha.


Washiriki wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano kabla ya kuwasilisha taarifa ya pamoja kuhusu maeneo ya utekelezaji katika mapambano dhidi ya Trakoma.
Picha/Aron Msigwa –MAELEZO.

No comments :

Post a Comment