Wednesday, September 7, 2016

DKT. SHEIN AENDELEA NA VIKAO VYA KIMKAKATI NA WATENDAJI WA SERIKALI YAKE


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kuhusu  Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kuhusu  Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Katibu Mkuu wa  Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,Bi.Fatma Gharibu Bilali akisoma baadhi ya vifungu wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja uliofanyika leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Bi.Mauwa Makame Rajab na Mshauri wa Rais Uchumi Mzee Abrahman Mwinyi Jumbe
Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto ukimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja leo katika mkutano kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kuhusu  Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja


Wasaidizi wa Rais wakifuatilia kwa makini michango mbali mbali iliyotolewa katika mkutano wa siku moja wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,ulizungumzia Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015-20120,uliofanyika leo Ikulu Mjini unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri

No comments :

Post a Comment