Wednesday, August 31, 2016

WAZIRI PROF.MBARAWA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA JAPANI KUJADILI FURSA MBALIMBALI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu. Kulia kwake ni Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akimuonyesha Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano na ujumbe wake taarifa ya maendeleo ya Miundombinu
nchini, walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano (wa nne kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es salaam kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu.

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA TAASISI YA AFRICA MATTER LIMITED YA UINGEREZA MHE. LYNDA CHALKER

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited ya Uingereza Mhe. Lynda Chalker aliyemtembelea kwa mzungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimkaribisha kuketi Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited ya Uingereza Mhe. Lynda Chalker aliyemtembelea kwa mzungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited ya Uingereza Mhe. Lynda Chalker aliyemtembelea kwa mzungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2016

NDEGE SHIRIKA LA MAREKANI YATIKISIKA ANGANI NA KUJERUHI WATU 12

WATOTO WA KIKE WA UINGEREZA HAWANA FURAHA NA MAISHA YAO

TAMASHA LA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA KASKAZINI KUFANYIKA SEPTEMBER 11

MAMA WA MITINDO NA YASIN KAPUYA KUIWAKILISHA TANZANIA MAREKAN

No comments :

Post a Comment