Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idaraya Usalama wa Taifa, Rashid Othman
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete,
(katikati), na Waziri wa Mambo ya Nje yaUshirikiano wa Kimataifa wa
serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe, (kulia), wakimsikiliza
Mkurugenzi Mkuu wa Idara yaUsalama wa Taifa, Rashid Othman, wakati wa
kikao cha usuluhishi wa mzozowa Burundi Ikulu jijini Dar es Salaam,
2015. (Maktaba ya K-VIS
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua wodi
mpya ya Hospitali Teule ya Wilaya ya Nkansi mkoani Rukwa Agosti 23,
2016. Wanaoshuhudia tendo hilo wapili kushoto ni mkewe Mary, wakwanza
kulia Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Zelote Stephene, na . (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua vitanda katika wodi
mpya ya Hospitali Teule ya Wilaya ya Nkansi baada ya kuizindua akiwa kataika
ziara ya mkoa wa Rukwa Agosti 23, 2016. Kushoto kwake ni mkewe Mary na wapili
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Zelote Stephene.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye Hospitali Teule ya
wilaya ya Nkansi baada ya kufungua wodi akiwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa
Agosti 23, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa
hadhara kwenye uwanja wa Sabasaba mjini Nkansi akiwa katika ziara ya mkoa
wa Rukwa, Agosti 23, 2016
Baadhi ya wananchi na askari wilayani Nkansi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sabasaba mjini Nkansi, Agosti 23,
Ukosefu
wa maarifa na taarifa sahihi wa vipindi vya mabadiliko maisha ya vijana
husababisha uwezekano wa kupotoka kimaadili kwa kufanya mafunzo kwa
vitendo na kuathiri makuzi bora.
Akitoa
mafunzo kwa wanafunzi wanaounda vikundi vya kutayarisha vipindi vya
redio kwa ajili kupaza sauti zao kuieleza Jamii kuhusu hali zao
mashuleni, mamlaka mbalimbali, majumbani na katika Jamii wilayani
Sengerema na Pangani, Afisa Mtaalam masuala ya Afya wa Shirika la Umoja
wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Herman Mathias
alisema kwamba changamoto nyingi zinazoathiri makuzi ya kimaadili kwa
vijana ni kutopewa maarifa na taarifa sahihi jinsi ya kutumia miili yao
bila kuathiri ndoto zao.
“Vijana
wengi wameshindwa kufikia ndoto zao kutokana na kutomaliza shule kwa
sababu hawajui namna ya kufanya maamuzi sahihi kutumia fursa walizo
nazo”, alisema Herman Mathias.
Mwezeshaji Herman Mathias kutoka UNESCO akitoa somo kwa washiriki wa Shule za Sekondari Sengerema.
Ili
kufikia malengo ya ndoto zao Afisa huyo wa UNESCO alisema vijana
wanahitaji kusoma kwa bidii na kuhitimisha mzunguko wa elimu, kuwa na
tabia njema kwa kuepuka vishawishi vya mtaani hususan kuvuta bangi na
matumizi ya vileo, utoro na matumizi ya lugha mbaya.
Alizitaja
tabia njema nyingine pamoja na kuepuka tabia za kimapenzi yanayoweza
kusababisha magonjwa ya zinaa, maambikizi ya virusi vya UKIMWI na
ujauzito na upatikanaji wa malezi yanayojali nafasi na muda wa m
No comments :
Post a Comment