Katibu Mtendaji wa Baraza la
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Bi. Benga’i Issa wa kwanza kulia
akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maonesho ya
wajasiriamali yataofanyika Septemba 26 mwaka huu jijini Dar es salaam ,
kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini
(TPSF) Bw. Godfrey Simbeye.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Sekta Binafsi nchini (TPSF) Bw. Godfrey Simbeye kushoto akiongea na
waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maonesho ya wajasiriamali
yataofanyika Septemba 26 mwaka huu jijini Dar es salaam, kulia ni Katibu
Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Bi. Benga’i
Issa.
Picha Zote Na Ally Daud-Maelezo
Mkurugenzi wa masuala ya nje ya SABMiller afanya ziara ya kikazi nchin
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Dk,Adhelm Meru
akisalimiana na Bw.Monwabisi Fendeso alipowasili ofisini kwake na ujumbe
wake kwa ziara ya kikazi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Dk,Adhelm Meru katika mazungumzo na Monwabisi Fendeso na ujumbe wake
Mkurugenzi
Mtendaji wa Tanzania Private Sector Foundation,Bw.Godfrey Sembeye
akibadilishana mawazo na Monwabisi Fendeso kutoka SABMiller Africa
walipokutana jijini Dar es Salaam jana
Monwabisi Fendeso na ujumbe wake katika majadiliano na watendaji wa Chama cha Wafanyabiashara
…………………………………………………………………….
No comments :
Post a Comment