Watoto wakishiriki swala hiyo.
Sheikh Zaki akiwasalimia waumini wenzake waliokuwepo kwenye swala hiyo.
Ibada ikiendelea.
Swala ikifanyika katika viwanja hivyo vya Mwembe Yanga.
Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed El- Fitr.
Waumini wa dini ya kiislam wakiswali kuhitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali kwa unyenyekevu mkubwa katika swala hiyo.
Mkurugenzi wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo
Swai, akimkabidhi Kitambulisho Clara Benard, mmoja kati ya wanachama wapya waliojiunga na
Mfuko wa PPF kupitia huduma ya Wote Scheme, katika Banda la PPF kwenye Maonesho
ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Mafoto Blog
Meneja
Uhusiano Lulu Mengele na Meneja Masoko Elihuruma Ngowi wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF, wakiwahudumia baadhi ya wanachama waliojiunga na huduma
ya Wote Scheme, katika Banda la PPF.
Mkurugenzi
wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akimkabidhi
Kitambulisho Mwita Bony, mwanachama mpya aliyejiunga na Mfuko wa PPF.
Afisa Uendeshaji wa Kanda ya Temeke, Sosteness Lyimo, akiwahudumia baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la PPF leo.
Mkurugenzi
wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akimkabidhi
Kitambulisho Mtani Manoko, mwanachama mpya aliyejiunga na Mfuko wa PPF.
Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani wa PPF, Bw. Hosea Kashimba (kushoto) na
Mkurugenzi wa Majanga, Uphoo Swai (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na Mfuko wa PPF leo.
Maafisa wa Mfuko wa PPF, Mwajuma Msina na Pauline Msanga, wakiwahudumia wateja waliotembelea kwenye Banda hilo, leo.
Maafisa wa Mfuko wa PPF, wakiwahudumia wateja waliofika kujua michango yao.
Mkurugenzi
wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akimkabidhi
Kitambulisho Filipa Sylvester, mwanachama mpya aliyejiunga na Mfuko wa
PPF.
Mkurugenzi
wa ukaguzi wa ndani wa PPF, Bw. Hosea Kashimba (wa saba kutoka kulia)
na Mkurugenzi wa Majanga, Uphoo Swai (wa saba kutoka kushoto) wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa PPF wakiwa
na Tuzo yao waliyokabidhiwa kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa.
Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Mrishom Mpoto, (kushoto), akimuhudumia mwanachama huyu aliyefika banda
la Mfuko huo lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye viwanja
vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016 ambako
kunafanyika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam.
Mfuko huo umezidi kujizolea wanachama wapya na hivyo kuongeza idadi ya
wachangiaji. (PICHA NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Joseph
Lyimo, (kushoto), Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akimkabidhi
kadi ya uanachama mwanachama Gilbert Nsumba, kwenye banda la Mfuko huo wakati
wa maonyesho ya 40 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Julai 5, 2016
Afisa
Operesheni Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kitengo cha ulipaji mafao, Murwa
Clara Kihore, (kulia), akiwapa maeelzo wanachama hawa wa PSPF Maafisa wa polisi,
kuhusu masuala yahu uchangiaji na michango kwenye Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye
banda la Mfuko huo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jingo la Wizara ya Fedha
na Mipango Julai 5, 2016
Afisa
Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Catherine Salema, akimkabidhi kadi ya
uanachama wa Mfuko huo kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS), Mtashobya E
Mukebezi, kwenye banda la Mfuko huo wakati wa maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam,
viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016
Lupakisye
Mwaipungu, (kushoto), Afisa Kumbukumbu wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, aimkabidh kadi
ya uanachama wa Mfuko huo kupitia mpango wa PSS, Paulo Elisa Kiombo kwenye
banda la Mfuko huo wakati wa maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam,
viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016
Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, (waliokaa
wapili kulia), akimsikiliza mwanachama huyu aliyetembelea banda la PSPF
wakati balozi huyo alipofika kuwapiga kukipiga "tafu" kikosi kazi cha
PSPF kilichoweka kambi kwenye maonyesho hayo Julai 5, 2016
Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto,
akizungumza kwenye mkusanyiko wa uhamasishaji wananchi kujiunga na PSPF
kwenye maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam,
viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF,
Abdul Njaidi, (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kwenye
mkusanyiko wa kuhamasisha umma kujiunga na Mfuko huo kwenye maonyesho ya
40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Julai 5, 2016
Hadji Jamadari, Afisa Mkuu wa
Operesheni wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kiongoza kikundi cha wasanii
maarufu Banana Zoro (aliyepanda farasi) na balozi wa Mfuko huo Mrisho
Mpoto kuelekea eneo la kuhamasisha umma kujiunga na Mfuko huo Julai 5,
2016
Msanii wa kikundi cha Mjomba
kinachomolikiwa na Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto akifanya vitu vyake
wakati wa kuhamasisha umma kujiunga na Mfuko huo
Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Catherine Salema, akimpatia maelezo mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko huo Julai 5, 2016
Afisa wa PSPF, Penzila Kaisi, (kushoto), akimpatia maelezo ya ufafanuazi kuhusu shughuli zzitolewazo na Mfuko huo kwa mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko lililoko kwenye jengo la wizara ya fedha na mipango Julai 5, 2016
Meneja wa Mpango wa uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe (Kushoto), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo, mwanachama mpya kupitia mpango wa PSS kwenye mkusanyiko wa kuhamasisha umma kujiunga na mpango huo kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimartaifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Julai 5, 2016
Wananchi waliofurika kwenye mkusanyiko wa kuhamasisha umma kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari, wakijaza fomu kujiunga na mpango huo kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016
![]() |
| Afisa Mkuu wa Operesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye mpango wa uchangiaji wa hiari wa PSS, Hadji Hamis Jamadari Ialiyekaa, akimuhudumia mwananchi aliyefika banda la Mfuko huo |




























No comments :
Post a Comment