Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk.
Mpoki Ulisubisya (katikati) akizungumzakatika ufunguzi wa Mkutano wa
Madaktari wa Mifupa wa Watoto Duniani ambapo Mkutano huo umeratibiwa na
Serikali ya Uturuki kupitia balozi wake Nchini Tanzania kwakushirikiana
na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Taasisi hiyo, kulia ni
Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp na kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya
Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kiloloma
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk.
Mpoki Ulisubisya akitia saini katika kitabu cha wageni Moi mara baada
ya kuwasili katika Mkutano wa Madaktari Bingwa wa Mifupa wa Wtoto
Duniani, Mkutano huo umeratibiwa na Serikali ya Uturuki kupiti Ubalozi
wake nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Wizara ya
Afyana na Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) uliohudhuriwa na Wataalamu
kutokanchi mbalimbaliza Afrikana Uturuki
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk.
Mpoki Ulisubisya akizungumza jambo katika Mkutano huo uliofantika
Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)
Baadhi ya Madaktari wakibadilishana mawazo huku wakipata chai
Baadhi ya madaktari wakijadiliana jambo
Madaktari
wakisikiliza kwa umakini wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki alipoufungua
Mkutano huo
Daktari
Bingwa Mfawidhi, Upasuaji Mifupa na Majeruhi Taasisi ya Tiba ya Mifupa
Dk. Robert Mhina (kushoto mwenye taia) akisikiliza kwa umakini
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa
ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kiloloma (kulia) akiteta jambo na
Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi hiyo, Dk. Samuel Swai
| Profesa Inan Muharrem (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kiloloma picha ya iliyochorwa |
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk.
Mpoki Ulisubisya katika picha ya pamojana Madaktari Bingwa
Katibu Mkuu akiongea na waandishi
Mkurugenzi Mtendaji akizungumza na waandishi
Balozi wa Uturuki nchini akizungumza na waandishi
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA), Mmiliki wa ujijirahaa blog
No comments :
Post a Comment