Mwenyekiti
wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia (kulia), akizungumza katika
mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu maazimio
mbalimbali yaliyopendekezwa katika kikao cha Halmshauri Kuu ya Taifa ya
chama hicho cha kawaida kilichoketi Julai 16 mwaka huu.
Kushoto Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosena Nyambabe.
KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM KUSHILIKI BONANZA VINGUNGUTI JULAI 30
Kocha
wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
katikati akiwa na mabondia Idd Mkwela kushoto na Vicent Mbiliyi wakati
wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya 'Super D Coach Uhuru GYM'
Kariakoo shule ya Uhuru Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

TRANSFORMING THE LIVES OF PEOPLE WITH DISABILITIES IN TANZANIA, THROUGH HANDICRAFTS, TRAINING & EMPLOYMENT
Iringa
District Commssioner, Richard Kasesela visited Neema Crafts Centre
which has been helping people with Disabilities .The Centre was founded
in 2003 by the Diocese of Ruaha, to provide training and employment
opportunities for people with disabilities in the Iringa region of
Tanzania.
It also aims to change negative attitudes towards people with disabilities in the local society. There’s a great stigma attached to having a disability in Tanzania, and the centre provides dignity and hope for many people who previously relied on street begging or were hidden away at home.
The centre has eight craft workshop areas, a therapy unit for disabled children, an award winning cafe, a conference centre entirely staffed by deaf people and a welcoming guesthouse jointly run by the local Mother’s Union.
All products are made by PWD, from the proceeds they get their daily bread and get away from begging.
Hon Kasesela thanked the centre for the support and promised to find a land for construction of houses as well as improve their lives. He also ask people to buy products from Neema Crafts which will make the centre grow.

You might also like:
No comments :
Post a Comment