Monday, May 9, 2016

BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA AFYA KUHUSU MRADI WA MATENGENEZO YA HOSPITALI KUU YA MNAZIMMOJA.

QU1 
Waziri wa Afya Mahamoud Thabit Kombo akizungumza na  Balozi wa Kuwait  nchini Tanzaania Jasem Al Najim  alipomtembelea Ofisini kwake kumuelezea juu ya Mradi wa kuifanyia matengenezo makubwa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja, Mjini Zanzibar.
QU2 
Waziri wa Afya Mahamoud Thabit Kombo  akiwa na mgeni wake  Balozi wa Kuwait nchini Tanzania  akimtembelea Hospitali Kuu ya Mnazimmoja ambayo itafanyiwa matengenezo makubwa na Serikali ya nchi hiyo.
QU3 
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania wakitembelea  wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wanaume waliopata ajali katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja.
QU4 
Balozi wa Kuwait Jasem Al-Njim akiangali chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja ambapo alisema sehemu hiyo itakuwa ya kwanza kufanyiwa matengenezo  makubwa.Balozi wa Kuwait Jasem Al-Njim akiangali chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja ambapo alisema sehemu hiyo itakuwa ya kwanza kufanyiwa matengenezo  makubwa  

WANANCHI WA KITONGOJI CHA PERA CHALINZE WAANZA KAMPENI YA KUPAMBANA NA MLIPUKO WA KIPINDUPINDU

KIP1Mwenyekiti wa mamlaka ya mji mdogo wa Chalinze Hussein Mramba akizungumza na wafanyabiashara mbali mbali wa kitongoji cha Pera Chalinze katika mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya kujadili namna ya kupambana na mlipuko wa ugonjwa kipindu pindu(Picha na Victor Masangu)
KIP2Baadhi ya wafanyabishara katika kitongoji cha pera Chalinze wakiwa katika Mkutano huo wa kujadili masuala ya usafi pamoja na kupambana na kipindupindu.
………………………………………………………………………………………………
NA VICTOR MASANGU, CHALINZE    

TANZIA: ANKAL MICHUZI AFIWA NA MWANAE

Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.
 
Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa, msiba utakuwa Tabata Mawenzi jijini Dar es salaam ambako ratiba ya mazishi itatoka mara tu baada ya mwili kuwasili.
 
Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.
 
Innalillah wa inna ilayhi raajiun.

REA yawezesha Wananchi kuanzisha miradi ya kiuchumi vijijini.

Photo-0727 
Na Jovina Bujulu-MAELEZO
 
USAMBAZAJI wa nishati ya umeme unaofanywa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewezesha Wananchi wengi walioko vijijini kuanzisha miradi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii.

TAMKO KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI

logo 
Serikali kupitia Wizara yangu inaendelea na utaratibu wa kutoa taarifa ya mwenendo wa mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu nchini kila wiki kama tulivyoahidi. Takwimu za ugonjwa huu zinaonyesha kuwa hadi kufikia tarehe 08 Mei 2016, kulikuwa na jumla ya wagonjwa 21,262  ambao wametolewa taarifa ya kuwa na ugonjwa huu, na kati ya hao, watu 333 wamepoteza maisha.

MBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI,JAFARY MICHAEL ATEMBELEA KATA ZILIZOATHIRIKA NA MVUA ZILIZONYESHA HIVI KARIBUNI.

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael (mwenye suti) akiwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya (Kulia) wakizungumza na Diwani wa kata ya Ng’ambo ,Genesis Kiwhelu walipofika katika kata hiyo kujionea athari za miondombinu iliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni.
Sehemu ya miondo mbunu ya maji ikiwa imeharibika.
Mbuge Jafary Michael na Mstahiki Meya ,Raymond Mboya pamoja na Diwani wa kata ya Ng’ambo Genesis Kiwhelu wakiangalia eneo la daraja lililopo katka kata hiyo namna lilivyoharibika kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni.
 
Sehemu ya daraja hilo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya akiwa katika moja ya kivuko kilichopo kata ya Ng’ambo akiangalia athari ya mvua zilizonyesha hivi karibuni.
Diwani wa kata ya Msaranga,Anna Mushi akimueleza jambo Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael alipofanya ziara ya kujionea athari ya mvua zilizonyesha hivi karibuni na kuharibu miundombinu.
Sehemu ya Korongo lililopo katika kati hiyo lililotokana na mvua .
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael akisaidia kupalia mahindi wakati akiwa katika kata ya Msaranga akitembelea kujionea athari ya mvua iliyosababisha uharibifu mkubwa wa miundo mbinu.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi,Raymond Mboya akisadia kaika palizi la Mahindi katika moja ya shamba lililopo kata ya Msaranga.
Diwani wa kata ya Mji Mpya Abuu Shayo akimueleza jambo Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Jafaryy Michael alipofika katika kata hiyo kujionea athari ya mvua iliyosababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu .
Diwani wa kata ya Njoro ,Jomba John Koi akionesha sehemu ya uharibifu uliotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni na kuharibu miundombinu.

Fastjet Yachukua ubingwa wa bonanza la Fastjet sport extra

 
.Wachezaji wa Timu ya fastjet (wenye jezi nyeusi) wakichuana na wachezaji wa timu ya Diamond Trust Bank(DTB) wakati wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni
 
Wachezaji wa Timu ya fastjet (wenye jezi nyeusi) wakichuana na wachezaji wa timu ya Diamond Trust Bank(DTB) wakati wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni
 
 
Wachezaji wa Timu ya fastjet wakisheherekea ushindi waliopata dhidi ya timu ya Diamond Trust Bank(DTB) kwenye  mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibun
 
.Afisa Masoko na Mawasiliano wa fastjet, Lucy Mbogoro akionyesha cheti kilichozawadiwa kwa timu ya fastjet kama mshindi wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni
 
Afisa Masoko na Mawasiliano wa fastjet, Lucy Mbogoro akionyesha cheti kilichozawadiwa kwa timu ya fastjet kama mshindi wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni
 
 

DC wa Wilaya ya Shinyanga akabidhi hati 92 za kimila

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Josephine Matiro akimkabidhi Anna Kadilana mkazi wa kijiji cha Nyida hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna alisema, “Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa usumbufu hasa wa mipaka ambao ulikua unatokea mara kwa mara
 
 
Haji Kihwele kutoka shirika la Oxfam akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hati za hakimiliki za kimila zilizofanyika katika kijiji cha Nyida.
 
Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyida John Sahani Nungula akizungumza katika hafla hizo; Alitaja shughuli za wakazi wa kijiji chake kuwa wengi ni ukulima, ufugaji na biashara ndogondogo na kwamba mazao yanayolimwa zaidi ni mpunga, mahindi, karanga, kunde, njugu mawe na mihogo
 
kurugenzi wa SHIDEPHA+ Venance Muzuka akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hati za hakimiliki za kimila zilizofanyika katika kijiji cha Nyida.
 
Meneja wa program kutoka shirika la Oxfam Bonaventure Joseph akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hati za hakimiliki za kimila zilizofanyika katika kijiji cha Nyida. Kulia kwake ni Peppy Sparrow kutoka Oxfam Scotland ambao ndio wafadhili wa mradi huu kupitia serikali ya Scotland.
 
Wakazi wa kijiji cha Nyida wakihudhuria hafla ya kukabidhi hati za hakimiliki za kimila.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Kiomoni Kibamba akizungumza katika hafla hiyo. Kibamba alisema “Kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo; Oxfam na SHIDEPHA+ tumefanikiwa kutekeleza mradi wa kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi ndani ya vijiji vinne ambavyo ni Shabuluba, Nyida, Mwenge na Puni. Mradi ulioanza mwezi wa Februari 2016 na sasa upo katika hatua za mwisho za utekelezaji.”
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Kiomoni Kibamba akizungumza katika hafla hiyo. Kibamba alisema “Kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo; Oxfam na SHIDEPHA+ tumefanikiwa kutekeleza mradi wa kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi ndani ya vijiji vinne ambavyo ni Shabuluba, Nyida, Mwenge na Puni. Mradi ulioanza mwezi wa Februari 2016 na sasa upo katika hatua za mwisho za utekelezaji.”
 
 
Wakazi wa kijiji cha Nyida wakiangalia hati zao walizopokea. 
Anna Kadilana mkazi wa kijiji cha Nyida akionyesha hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna alisema, “Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa usumbufu hasa wa mipaka ambao ulikua unatokea mara kwa mara”
 
 
Wakazi wa kijiji cha Nyida wakihudhuria hafla ya kukabidhi hati za hakimiliki za kimila.
 
MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro amekabidhi jumla ya hati za hakimiliki za kimila 92 kwa wakazi wa kijiji cha Nyida mkoani Shinyanga.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AWAHUTUBIA WANAWAKE KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA MAMA MJINI DODOMA

WT1 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa na Wajasiriamali wadogowadogo kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yamefanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT3 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa na Wajasiriamali wadogowadogo kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yamefanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT4 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi cheti mmoja kati waliofanya vizuri kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yamefanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT5 
Wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,alipokua akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT8 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanawake kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe za kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais Mwanamke wa kwanza yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT6 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Tunzo alizokabidhiwa na UWT Taifa kwa ajili ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa Kwanza Mwanamke kwenye maadhimisho ya siku ya Mama yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT9 WT10 
Vikundi mbalimbali vya Ngoma Vikitumbuiza kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.Vikundi mbalimbali vya Ngoma Vikitumbuiza kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT11 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanawake na Wananchi wa Dodoma baada ya kuwahutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.(Picha na OMR)
WT12 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanawake na Wananchi wa Dodoma baada ya kuwahutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.(Picha na OMR)

NAIBU WAZIRI AGELINA MABULA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA ARDHI

A1 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi uliofanyika mwishoni mwa wiki katika ukubi wa mikutano wa Shirika la Nyumba Upanga jijini Dar es salaam, Naibu Waziri Angelina Mabula amewaasa wafanyakazi wa wizara hiyo kufanya kazi kwa nidhamu na uadilifu kwani kumekuwa na malalamiko kutoka katika halmashauri mbalimbali nchini wananchi wakilalamikia wafanayakai wa idara za Ardhi jambo ambalo ziyo zuri, Jirekebisheni mfanye kazi kwa maslahi ya watanzania ili wananchi waweze kutatuliwa shida zao katika masuala ya migogoro ya ardhi bila matatizo wala vikwazo.
A2 
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Bw. Yamungu Kayandabila akimkaribisha Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula ili kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki Upanga jijini Dar es salaam. A3 
Baadhi ya wafanyakazi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula  wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano huo.
A4 A5 A6 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula akiwa ameketi meza kuu pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Bw. Yamungu Kayandabila  watatu kutoka kushoto pamoja  viongozi wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Ardhi.
A7

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA NHC

001 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline  Mabula akifungua rasmi mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam ambapo alilipongeza shirika hilo kwa kazi nzuri ambayo wafanyakazi wake wanaifanya kwani ndiyo shirika pekee la Serikali linaloendeshwa kwa ufanisi mkubwa na kuiletea heshima serikali, Waziri Mabula amewaambia wafanyakazi wa shirika hilo pamoja na Menejimenti yake kuendelea na kazi nzuri ambayo wamekuwa wakiifanya ili kuleta maendeleo zaidi nchini katika sekta ya nyumba.PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM
01 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline  Mabula akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki katikia makao makuu ya shirika hilo Apanga kulia ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu na kushoto ni Adolf Kasegenya Katibu wa Baraza la Wafanyakazi TAMICO NHC.
1 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline  Mabula Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu kulia na Adolf Kasegenya Katibu wa Baraza la Wafanyakazi TAMICO NHC kushoto wakiimba wimbo wa wafanyakazi kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
3 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline  Mabula na Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo.
4Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline  Mabula akipitia nyaraka huku  Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na wafanyakazi wa shirika hilo kabla ya kumkaribisha ili kufungua rasmi mkutano huo.
5 Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu akizunguma na wafanyakazi wa shirika hilo kabla ya Waziri Angelina Mabula kuufungua rasmi.
6 Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu akisisitiza jambo wakai akizunguma na wafanyakazi wa shirika hilo kabla ya Naibu Waziri Angelina Mabula kuufungua rasmi.
7 
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba wakifuatilia mkutano huo.
8Wafanyakazi wa shirika la Nyumba wakiimba wimbo wa wafanyakazi kabla ya kufunguliwa kwa mkutano huo.
9Wafanyakazi wa shirika la Nyumba wakiwa katika mkutano huo.
11 Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu  na Naibu Waziri Angelina Mabula wakiwa katika picha ya pamoja  na wafanyakazi wa shirika hilo baada ya  kuufungua rasmi mkutano huo.
12 Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu  na Naibu Waziri Angelina Mabula wakiwa katika picha ya pamoja  na wafanyakazi wa shirika hilo baada ya  kuufungua rasmi mkutano huo.
13 
Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu  na Naibu Waziri Angelina Mabula wakiwa katika picha ya pamoja  na wafanyakazi wa shirika hilo baada ya  kuufungua rasmi mkutano huo.

MTANGAZAJI WA CNN RICHARD QUEST AFURAHISHWA NA VIVUTIO VUA UTALII TANZANIA KATIKA MAONESHO YA INDABA

Kwa mara nyingine tena Tanzania inashiriki katika onesho la kimataifa la Utalii la INDABA yanayofanyika huko Afrika Kusini maonesho hayo yalianza  jana  tarehe 7 Mei na  yanatarajiwa kumalizika tarehe  9 Mei, 2016.  jijini Durdan, Bodi ya Utalii (TTB) ndio waratibu wa onesho kwa upande wa Tanzania. Katika onesho hili TTB inashirki pamoja na taasisi za TANAPA na Mamlaka na Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na makampuni mbalimbali binafsi Zaidi ya 30 ya sekta ya Utalii .
Katika siku yake ya kwanza Banda la Tanzania limetembelewa na wadau wengi wakiwemo watalii, waandishi wa habari za utalii, mawakala wa Utalii nk. Miongoni mwa watu mashuhuri waliotembelea Banda la Tanzania ni Mwandishi maarufu na mtangazaji wa Kimataifa kutoka Shirika la habari la CNN la Marekani Bwana Richard Quest ambaye alifurahishwa na vivutio vua utalii nchini Tanzania mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa Maofisa wa Bodi ya Utalii  Tanzania TTB.
A05Mkurugenzi wa Masoko kutoka Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bwa Philip Sebastian akimuonyesha jambo Mwandishi maarufu na mtangazaji wa Kimataifa kutoka Shirika la habari la CNN la Marekani Bwana Richard Quest wakati alipotembelea katika banda la Tanzania katika maonesho ya kimataifa ya Utalii Indaba jijini Durban nchini Afrika Kusini..
A3Mkurugenzi wa Masoko kutoka Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bwa Philip Sebastian akimpa maelezo kuhusu vivutio vya utalii nchini Tanzania  Mwandishi maarufu na mtangazaji wa Kimataifa kutoka Shirika la habari la CNN la Marekani Bwana Richard Quest wakati alipotembelea katika banda la Tanzania katika maonesho ya kimataifa ya Utalii Indaba jijini Durban nchini Afrika Kusini Katikati ni Bi Devotha Mdachi Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB.
A4  A5 
Baadhi ya wagenimbalimbali waliotembelea katika banda la Tanzania katika maonesho ya Utalii ya Indaba yanayofanyika katika jiji la Durban nchini Afrika Kusini.
A1Mkurugenzi wa Masoko kutoka Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bwa Philip Sebastian na  Bi. Devotha Mdachi Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB. wakiwa na mmoja wa wageni aliyetembelea  katika banda la Tanzania katika maonesho ya kimataifa ya Utalii Indaba jijini Durban nchini Afrika Kusini Katikati ni
A2 
Baadhi ya wageni wakipata taarifa mbalimbali kutoka katika banda la Tanzania.
A7 
Wageni mbalimbali wakiwa katika banda la Tanzania.

WANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI WAJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

 Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa, kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Joyce Hagu (wa pili kushoto), akimkabidhi Katibu wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (Chamuita), Stellah Joel, kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),  katika hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo kwa waimbaji wa nyimbo za injili uliofanyika Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Mlezi wa chama hicho, Askofu Dk. Rejoyce Ndalima na Rais wa chama hicho, Ado Novemba.
 Hapa mwimbaji nguli wa nyimbo za injili Mzee Kitenzogu Makassy akikabidhiwa kadi yake baada ya kujiunga na NHIF.
 Burudani kutoka Kwaya ya Victorous Station ya Mwananyamala ikiendelea.
 Wanakwaya wakibadilishana mawazo katika uzinduzi huo.
 Burudani zikiendelea.
 Waimbaji wa kwaya ya Kanisa la Nabii Flora la Salasala wakitoa burudani.
 Wanakwaya ya Ukombozi ya Kanisa la Anglikana Tegeta wakionesha umahiri wa kumtukuza mungu kwa kuimba.
 Muonekano wa meza kuu katika uzinduzi huo.
 Ushuhuda ukitolewa kuhusu mungu anavyowatendea watu wake miujuzi.
 Mlezi wa chama hicho, Askofu Dk. Rejoyce Ndalima (kushoto), akiwa ameketi na mgeni rasmi mama Joyce Hagu.
 Maofisa wa NHIF kutoka Wilaya ya Kinondoni wakiwa tayari kuwandikisha wanachama wapa katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Derick Ndyetabula, Margaret Malangalila na Dk.Fortunatus Salala.
 Mchungaji David Nyanda ambaye ni muimbaji (wa pili kulia), akionesha manjonjo wakati akitoa burudani kwa kuimba katika uzinduzi huo.
 Katibu wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (Chamuita), Stellah Joel akizungumza kwenye uzinduzi huo.
 Waimbaji na maofisa wa NHIF kutoka Kinondoni wakifuatilia uzinduzi huo.
 Rais wa Chamuita, Ado Novemba akizungumza kwenye uzinduzi huo.
 Furaha na shangwe zikiendelea katika uzinduzi huo watu wote mikono juuu.
 Meneja wa NHIF Wilaya ya Kinondoni, Constantine Makala akitoa darasa kuhusu faida za kujiunga na NHIF na jinsi ya kujiunga.
 Dk.Fortunatus Salala wa NHIF akizungumza kwenye uzinduzi huo.
 Mmoja wa waimbaji wa nyimbo za injili akielezea jinsi alivyonufaika na mfuko huo baada ya kujiunga miezi miwili iliyopita pamoja na mke wake.
 Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa, kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Joyce Hagu (kushoto), akionesha kadi za wanachama hao baada ya kuzizindua. Kulia ni Maadam Ruti Mwamfupe.
…………………………………………………………………………………………
Na Dotto Mwaibale
 
WANACHAMA wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (Chamuita), wamejiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ili waweze kupata matibabi ya uhakika pindi watakapo umwa.

SPIKA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WABUNGE WANAOPAMBANA NA RUSHWA

NDU1 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma leo tare 8 Mei, 2016.
NDU3 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma leo tare 8 Mei, 2016
NDU4 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ( katikati  pamoja na viongozi wengine wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania. Wengine katika ni , Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki  (kushoto) na Cecilia Paresso (Mb) – Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho.
NDU5 
Wakili wa kujitegemea Bw. Said Yakubu akiwasilisha mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania.
(Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments :

Post a Comment