NA Mwandishi wa K-VIS MEDIA
Kutoka Washington, DC, imeelezwa kwamba leo tarehe 18 April,
2016; Kampuni ya Symbion Power, imekanusha vikali kile ambacho kimeelezwa na
kukuzwa kupita kiasi na Kampuni yenye makazi yake Dubai iitwayo Rental Services
and Solutions ( Kampuni itoayo huduma za kukodisha na suluhisho mbali mbali) na
washirika wake
Akiongea kutoka Jijini Washington DC, Makamu wa Rais Mwandamizi
anayehusika na kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kijamii katika kampuni ya
Symbion Power , Ndugu Adi Raval amesmea. “Kiuhalisia hili ni suala la kodi. Hii
kampuni iitwayo RSS na washirika wake walikuwa wakifanya kazi kama wakandarasi
waliokamishwa na Kampuni ya Symbion kwa miaka mitatu ; kutoka mwaka 2011 mpaka
mwaka 2014. Katika muda huo hawakulipa hata dola moja ya kodi kwa
Serikali ya Tanzania kinyume na inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria”.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma, Jordan Rugimbana (kulia) , Mbunge wa Mkuranga, Abdallah
Ulega (Wapili kushoto) na Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala baada
ya kuwasili kwenye uwanja w ndege wa Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge
kinachotarajiw kuanza Arili 19, 2016..
Kiongozi
wa mbio za Mwenge Kitaifa kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka
mkoa wa Mbeya akifunua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la jengo
la biashara na Ofisi la 2D la mjini Morogoro lililojengwa kwa thamani ya
Shilingi bilioni 4.3. Jengo hilo ni la ghorofa nne likiwa na eneo la
chijni kwa ajili ya maegesho ya magari . Ni mradi wa kwanza kuzinduliwa
na Mwenge wa Uhuru kwa mwaka huu mara tuu baada ya kuwashwa na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan.
Mkurugenzi
wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi ambaye
alimuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa akiupokea kwenge
mbele ya Kiongozi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson
Mbijima kutoka mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kukimbiza mwenge huo katika
Mikoa na wilaya zote za Tanzania.
Meneja
wa Shirika la Taifa, Veneranda Seif akiupokea kwenge mbele ya Kiongozi
wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa
Mbeya kwa ajili ya kukimbiza mwenge huo katika Mikoa na wilaya zote za
Tanzania.
Meneja
wa Shirika la Taifa, Veneranda Seif akisoma taarifa ya utekelezaji wa
mradi huo mbele ya Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2016
George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kukimbiza
mwenge huo katika Mikoa na wilaya zote za Tanzania.
Jengo
la Biashara la 2D linavyoonekana leo kabla ya kuzinduliwa na kiongozi
wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka
mkoa wa Mbeya.
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa akijiandaa kuupokea Mwenge wa Uhuru.
Wananchi waliofika kushuhudia tukio hilo wakijiandaa kuupokea Mwenge wa Uhuru.
Mwenge wa Uhuru ukiwasili katika eneo la tukio.
Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akiupokea Mwenge wa Uhuru ulipowasili katika eneo mradi wa 2D.
Kiongozi
wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa
Mbeya akizungumza baada ya kuzindua jengo hilo ambapo alilipongeza
Shirika hilo kwa kazi kubwa wanayofanya kuhakikisha wanawapatia wananchi
makazi bora na akalitaka Shirika kuendeleza jitihada hizo ili
Watanzania wengi zsaidi wafaidike.
Kiongozi
wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa
Mbeya akizungumza baada ya kuzindua jengo hilo ambapo alilipongeza
Shirika hilo kwa kazi kubwa wanayofanya kuhakikisha wanawapatia wananchi
makazi bora na akalitaka Shirika kuendeleza jitihada hizo ili
Watanzania wengi zaidi wafaidike.
Wafanyakazi wa Ashirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi.
Kiongozi
wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa
Mbeya akizungumza baada ya kuzindua jengo hilo ambapo alilipongeza
Shirika hilo kwa kazi kubwa wanayofanya kuhakikisha wanawapatia wananchi
makazi bora na akalitaka Shirika kuendeleza jitihada hizo ili
Watanzania wengi zaidi wafaidike.
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Mohamed Chande Othman (kulia)
akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Jaji wa Mahakama Kuu
ya Watu wa Jamhuri ya China, Mhe. Zhang Jiannan kwenye Mahakama ya Rufaa
jijini Dar es Salaam Aprili 18, 2019. Mkutano huo ulilenga kujenga
ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika kubadilishana na kukuza
weledi katika sekta ya sheria.
(Picha na Aron Msigwa wa MAELEZO)
Jaji wa Mahakama Kuu ya Watu wa Jamhuri ya China, Mhe. Zhang
(kushoto) akieleza namna Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Watu wa China inavyofanya
kazi leo jijini Dar es salaam wakati wa kikao cha pamoja kilichowahusisha
Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na China. Wengine ni Jaji Mkuu wa
Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (katikati) na Jaji Kiongozi Mhe. Shaban
Lila.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (katikati)
akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja kati ya Majaji wa Mahakama Kuu ya
Tanzania na Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Watu wa China uliolenga kukuza
ushirikiano na kubadilishana uzoefu wa utendaji wa Mahakama za Tanzania na
China leo jijini Dar es salaam.
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaban Lila(kulia)
akimweleza jambo jaji wa Mahakamu Kuu ya Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya
kumkaribisha Ofisini kwake Mahakama Kuu leo jijini Dar es salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Watu wa Jamhuri ya
China, Mhe. Zhang (wa pili kutoka kushoto mbele) akiwa katika picha ya pamoja
na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohammed Chande Othman (katikati) na baadhi ya
watendaji wa Mahakama ya Tanzania mbele ya Jengo la Mahakama ya Rufaa leo
jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (kulia) akiwa
ameongozana na Jaji wa Mahakama Kuu ya Watu wa Jamhuri ya China, Mhe. Zhang
Jiannan (kushoto) mara baada ya kumpokea katika viwanja vya Mahakama ya Rufaa
leo jijini Dar es salaam. Mhe. Zhang Jiannan pamoja na ujumbe wake yupo nchini
kwa ziara ya kikazi kwenye Mahakama ya Tanzania kwa lengo la kubadilishana
uzoefu wa utendaji kazi na kuimarisha ushirikiano baina ya Mahakama ya Tanzania
na China.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Watu wa Jamhuri ya China, Mhe. Zhang
( kushoto) akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohammed Chande Othman
(kulia) mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo naye leo jijini Dar es
salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Watu wa Jamhuri ya China, Mhe. Zhang
(kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohammed
Chande Othman mbele ya Jengo la Mahakama ya Rufaa.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Watu wa Jamhuri ya China, Mhe. Zhang
(kushoto) akipokea zawadi ya kinyago kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.
Mohammed Chande Othman.













No comments :
Post a Comment