Sunday, April 17, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MOROGORO

mo1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Bibi Fausta Andreas na Mtoto wake Vayalet Michael (2) aliyelazwa katika Hospitali ya rufaa Mkoa Morogoro kwa matibabu wakati alipotembelea Hospitali hiyo leo April 17.2016 kwa ajili ya kuangalia utendaji na utoaji huduma kwa Jamii. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
mo2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mtoto Anisha Juma (2) mkazi wa Morogoro mjini aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kwa matibabu leo April 17.2016 Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuangalia utendaji kazi na utoaji huduma kwa Jamii.
mo3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro leo April 17,2016, wakati alipowasili Hospitalini hapo kwa ajili ya kuangalia huduma zinazotolea kwa Jamii katika Hospitali hiyo. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. kulia Daktari Mfawizi wa Hospitali hiyp Dr. Rita Lyamuya.
mo4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa katika kiwanda cha Mafundi Seremala cha (Kimasemo) kiliopo Sabasaba Mkoani Morogoro, wakati alipotembelea Kiwanda hicho leo April 17.2016 kwa ajili ya kukagua kazi zinazofanywa na kikundi hicho ambapo ameahidi kuchangia jumla ya Tshs 10 milioni kwa ajili ya kuendeleza utendaji wa kiwanda hicho. Makamu wa Rais yupo Mkoani Korogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
mo5
mo6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watoto baada ya kukamilisha ziara ya kutembelea kiwanda cha Mafundi Seremala cha (Kimasemo) kiliopo Sabasaba Mkoani Morogoro leo April 17.2016. Makamu wa Rais yupo Mkoani Korogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu(Picha na OMR)
mo7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watoto baada ya kukamilisha ziara ya kutembelea kiwanda cha Mafundi Seremala cha (Kimasemo) kiliopo Sabasaba Mkoani Morogoro leo April 17.2016. Makamu wa Rais yupo Mkoani Korogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu(Picha na OMR)
mo8
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi hundi ya Tshs 10 Milioni kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha vijana cha Mafundi Seremala (Kimasemo) Habibu Said zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Azizi Aboud kwa ajili ya kuendeleza utendaji wa kiwanda hicho. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

ZAIDI YA WAKAZI 500 WAVAMIA SHAMBA LA MWEKEZAJI ARUMERU

aru 
Mahmoud Ahmad Arumeru 
Mgogoro mkubwa umeibuka katika kijiji cha Kwa Ugolo wilayani Arumeru mkoani Arusha baada ya zaidi ya wakazi 500 wa kijiji hicho kuvamia shamba la mwekezaji na kwa madai shamba hilo ni mali yao halali.

MAANDALIZI YA MBIO ZA MWENGE MOROGORO

mwe1
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu  kushoto akimpatia maelezo  Wazairi  wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu a Mh. Jenista  Mhagama  maendeleo ya   maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu katikati, wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Steven Kebwe
mwe2
Baadhi ya wasanii  wakiwa katika maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu kesho.
mwe3
Maandalizi ya uzInduzi wa Mbio za Mwenge yakamilika  mkoani  Morogoro kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro  Mh. Mh. Steven Kebwe akiangali zoezi la matayarisho ya uzinduzi  huo.
mwe4
:  Maandalizi ya uzunduzi wa Mbio za Mwenge yakamilika  mkoani  Morogoro kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro  Mh. Mh. Steven Kebwe akiangali zoezi la matayarisho ya uzinduzi  huo na kushoto ni  Waziri  wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu  Mh. Jenista  Mhagama.
mwe5
: Baadhi ya watoto wa shule wakiwa katika maandalizi  maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu.
mwe6
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu  kushoto akimpatia maelezo  Waziri  wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu a Mh. Jenista  Mhagama  maendeleo ya   maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu 

Fibreboard Yatoa Madawati 2000

madaw
Mahmoud Ahmad Arusha 
KIWANDA cha kutengeneza mbao cha Fibreboard 2000 limited,cha jijini Arusha, leo kimetoa msaada wa madawati 1000 yenye thamani ya shilingi milioni 80 kwa shule za msingi za mkoa wa Arusha, ambazo zinaupungufu  wa madawati hivyo kusababisha wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa chini.
Akikabidhi msaada huo kwa mkuu wa mkoa wa Arusha, mkurugenzi mtendaji wa Fibreboard 2000 limited, Tosk Hansy, amesema  msaada huo ni kuitikia wito wa rais John Magufuli, wa kuwataka wananchi kuchangia madawati kwenye shule mbalimbali..
Hansy, amesema madawati hayo ambayo yapo katika hatua ya mwisho kukamilika yatakabidhiwa rasmi juma tatu kwa uongozi wa mkoa wa Arusha tayari kuyasambaza kwenye shule mbalimbali zenye upungufu.

NHIF yatoa Saruji tani tatu Kilangalala

????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Rehani Athumani akiwasalimia wanafunzi wa shule ya Sekondari Kilangalala Mkoani Pwani.
????????????????????????????????????
Msaada wa Saruji tani tatu ukikabidhiwa kwa shule hiyo kwa lengo la kusaidia ujenzi wa uzio
????????????????????????????????????
Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma Grace Michael akigawa vipeperushi vyenye ujumbe wa huduma ya Toto Afya Kadi kwa wanafunzi hao.
????????????????????????????????????
Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu Albert Mabiki akizungumza na uongozi wa NHIF ulipokuwa ofisini kwake.
????????????????????????????????????
Shehena ya saruji iliyotolewa na Mfuko kwa ajili ya shule hiyo.
????????????????????????????????????
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini elimu ya huduma za NHIF
????????????????????????????????????Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Rehani Athumani akiwahamasisha wanafunzi hao kusoma kwa bidii.

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAISI MH.LUHAGA MPINA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI KITAIFA MADALE JIJINI DAR ES SALAAM

mad1
Naibu Waziri wa nchi ofis ya makamu wa raisiMuungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipanda mti kuashiria uzinduzi rasimi wa kampeni ya kitaifa ya upandaji miti uliofanyika madale jijini Dar es salaam                       
mad2
Baadhi ya wanainchi Waliohudhuria uzinduzi wa barabara za mitaa na kampeni ya upandaji miti kitaifa uliofanyika katika kata ya madale jijini Dar es salaam na Mgeni rasmi Naibu waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mh.Luhaga Mpina.                  
mad3
Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipanda mti katika kata ya Madale jijini Dar es salaam.   
mad4
Naibu Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa raisi muungano na mazingira Mh.Luhaga Mpina akizindua rasmi jiwe la msingi la kampeni ya Upandaji miti Kitaifa jijini Dar es salaam,        
mad5
Jiwe la msingi lililozinduliwa na Mh.Naibu waziri wa Ofisi ya makamu wa raisi muungano na mazingira Mh.Luhaga Mpina kata ya Madale jijin Dar es salaam kuashiria uanzishwaji wa kampeni ya upandaji miti nchini kote,       
mad6
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya makamu wa raisi Muungano na Mazingira akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti katika kata ya Madale jijini ikiwa ni sehemu ya kampeni kitaifa ya kupanda miti

MINING COMPANIES SIGNIFICANT CONTRIBUTORS TO ECONOMY, OPERATE TRANSPARENTLY

Balozi Ami Mpungwe
                                                         Balozi Ami Mpungwe
TANZANIA CHAMBER OF MINERALS AND ENERGY
PRESS STATEMENT
MINING COMPANIES SIGNIFICANT CONTRIBUTORS TO ECONOMY, OPERATE TRANSPARENTLY
Recently, the mining sector has seen negative media reports in relation to the way in which it operates. The Tanzania Chamber of Minerals and Energy (TCME) represents member companies involved in the mining sector, from explorers to large scale producers as well as medium and small scale miners. Businesses that support the mining sector also form part of the membership. This sector is a significant contributor to Tanzania’s economy and the statistics below show the tangible fiscal and social benefits that accrue to the Tanzanian economy which in turn enables the Tanzanian Government to deliver on important development projects.
Mining Benefits to Tanzania
Key statistics:
 Investment into the mining sector from 1997 – 2015: USD 4.5 billion.
 Revenue generated over the same period: USD 16.5 billion
 GDP contribution: 3.3% (2013), Vs Vision 2025 of 10% contribution.
 43% of total exports in 2013 (BOT Annual Report 2012/13).
 48.2% Gross Value Added (% of revenue retained in country) i.e utilized for local procurement, taxes, training, infrastructure, local salaries and others.
 Large Scale Mining employs directly 20,000 and another 200,000 induced (1:10)
Chart showing distribution of revenue generated by member companies for the period 1997-2015
The revenue generated by our members amounted to USD 16,499,378,727 for the period 1997 to 2015
Description Amount spent (US$) % of Revenue
Local Procurement 4,812,639,755 29.2
Community Spend 50,813,229 0.3
Training Spend 40,946,264 0.2
Local Salaries 1,146,813,407 7.0
Infrastructure Spend 58,095,698 0.4
Royalty & Other Taxes to Govt 1,827,814,617 11.1
TOTAL 7,937,122,971 48.2
The above chart and accompanying table indicates that the Gross Value Added (GVA) in the Tanzanian economy adds up to 48.1% (that is the amount of all payments made by the companies in-country as a percentage of revenue generated by the companies. The statistics provide to a large extent the vast tangible incremental fiscal and social benefits that accrue to the Tanzanian economy.

MAJALIWA AMPA POLE MBOWE KWA KUFIWA NA KAKA YAKE

N1 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe  wakati alipokwenda kumpa pole  kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
N2 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha kaka yake   Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe   (kulia kwake) wakati alipokwenda kumpa pole  kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
N3 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na wanafamilia wakati alipokwenda  kumpa pole   Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe     kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
N5 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwanasiasa mkongwe,Kingunge Ngombale- Mwiru  wakati alipokwenda  kumpa pole   Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe     kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUSIPOWAWEZESHA WANAWAKE HAWA,MNATAKA TUWAWEZESHE WANAWAKE GANI-WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIU.

1 
Waziri Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wanawake waponda kokoto nje ya kituo cha afya cha Bugarama,na kuwataka wajiorodheshe majina na kuyapeleka kwa afisa maendeleo wa kata ili.waweze kupatiwa mkopo kwa ajili ya kununua mashine ya kusaga kokoto.
2 
Akina mama  wakiendelea na kazi zao katika eneo hilo.
3 
Waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto akisalimiana na wananchi wa kata ya Bulyahulu alipofika kukaguaujenzi wa zahanati.
4
Waziri Ummy Mwalimu akiekekeza kitu kwenye jengo hilo la kituo cha afya na kuahidi ataipa kibali kituo hicho kibadilishwe na kuwa hospitali ya wilaya ili kuwaounguzia mzigo wananchi wa halmashauri hiyo kwenda kupata matibabu mjini kahama,kushoto ni mganga mkuu wa wilaya hiyo dkt.Hamad Nyembea.
5 
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Vita Kawawa akimuonesha dirisha la dawa Waziri.wa afya,maendeleo ya Jamie,jinsia,wazee na watoto.
6 
Ukaguzi wa ujenzi wa zahanati hiyo ukiendelea
7 
Picha ya pamoja
……………………………………………………………………………………………..
Na.Catherine Sungura,Msalala
Mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala wilayani kahama,amepewa wiki mbili awe amempatia ripoti waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto, Ummy Mwalimu ,wanawake wanaoponda kokoto wamewezeshwaa kwa kupatiwa mkopo wa kiasi gani na mafunzo yapi.

Mama wa Mhariri Mtendaji wa The New Habari Absalom Kibanda azikwa Rungwe Mbeya


ab2
Familia ya wanahabari kutoka media mbalimbali pamoja na baadhi ya wahariri walioshiriki mazishi ya mama wa mhariri mtendaji wa The New Habari Absalom Norman Kibanda aliyesimama katikati mwenye miwani  mara baada ya maziko yaliyofanyika Rungwe mission wilayani Rungwe mkoani Mbeya jana mchana.
ab1

OLE SENDEKA ANOGESHA SHEREHE ZA DIWANI WA KATA YA ENGARENAIBOR LONGIDO MKOANI ARUSHA

 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha Wageni alipopita Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha akiwanjiani kwnda wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo jana. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza na kulia ni Katibu Mwenezi wa mkoa huo, Shabani Mdoe
 Katibu Mwenezi wa mkoa wa Arusha Shabani Mdoe akitambulisha wageni, Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Ole Sendeka alipofika Ofisi ya CCm mkoa wa Arusha akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani humo jana akiwa katika ziara ya kikazi
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Arusha alipofika Ofisi ya CCM mkoani huni humo akiwa njiani kwenda wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi
 Vijana wa bodaboda wakimsalimia Msemaji wa CCM, Ole Sendeka wakati wa mapokezi akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani Arusha kikazi. Kushoto ni wenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
 Msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka ukienda wilayani Longido mkoani Arusha
 Hiyo Ndiyo Longido
 Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka ulipokuwa njiani kwenda Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha 
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido Ernest Kahindi, alipofika Ofisi ya CCm ya wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Kata ya Engarenaibor akiwa katika ziara ya kikazi
 Mwanannchi wa Longido
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akienda katika Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha
 Msemaji wa CCM, Ole sendeka akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha jana

Waziri ummy mwalimu ataka ripoti ya kuwakopesha wanawake

um1
Na.Catherine Sungura,Msalala
Mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala wilayani kahama,amepewa wiki mbili awe amempatia ripoti waziri wa afya
a,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto, Ummy Mwalimu ,wanawake wanaoponda kokoto wamewezeshwaa kwa kupatiwa mkopo wa kiasi gani na mafunzo yapi.

Hali hiyo imetokea wakati waziri huyo alipofika halmashauri hiyo kukagua ujenzi wa kituo cha afya kilichopo kata ya bugarama kinachojengwa na kampuni ya mgodi wa ACACIA iliopo Bulyahulu na kuwakuta wanawake mbele ya majengo hayo wakiponda kokoto kwa kutumia vifaa duni na vya mkono

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

sul1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Meneja Mkuu wa Uzalishaji katika kiwanda cha Ushoni wa Nguo za aina mbalimbali Mw. Ritesh Krishandev Beesony, wakati alipowasili katika kiwanda hicho leo April 16,2016 kwa ajili ya kutembelea na kuangalia utendajia kazi zinazofanywa kiwandani hapo. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
sul2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia nguo za aina mbalimbali zinazotengenezwa na kiwanda cha Ushoni cha Mazawa kiopo Msamvu Mkoani Morogoro wakati alipotembelea  kiwanda hicho leo April 16,2016 kwa ajili ya kuangalia utendajia kazi zinazofanywa kiwandani hapo. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
sul4
sul6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi na wafanyakazi wa kiwanda cha Ushoni wa Nguo cha Mazawa kiliopo Msamvu Mkoani Morogoro baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho leo April 16,2016 Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
sul7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na wafanyakazi wa kiwanda cha Ushoni wa Nguo cha Mazawa kiliopo Msamvu Mkoani Morogoro baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho leo April 16,2016 Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

NAPE KUKOMESHA RUSHWA MICHEZONI

 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Watumishi wa Serikali pamoja na Wadau walio chini ya wizara yake wa mkoa wa Tabora ambapo aliwaambia kuwa atawaondoa wala rushwa na matapeli katika michezo nchini.
 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na watumishi wa serikali waliochini ya wizara yake pamoja na washika dau wa habari, utamaduni sanaa na michezo wa mkoa wa Tabora ikiwa sehemu ya ziara yake yenye lengo la kuifanya wizara yake kumfikia kila mtu nchini na si kuishia Dar es Salaam tu.
 Katibu wa CHANETA mkoa wa Tabora Mwalimu Mwajuwa Yusufu akisoma taarifa ya chama chao pamoja na changamoto zinazowakabili kwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Wavu mkoa wa Tabora Ndugu Lawrence Safari akichangia maoni mbali mbali ya kuboresha michezo nchini kwenye mkutano na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ambaye pia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za CCM mkoa wa Tabora ambapo aliwataka Mawaziri wanaofanya ziara kwenye mikoa mbali mbali wajenge utamaduni wa kupitia kwenye ofisi za chama na kusaini kitabu cha wageni kwani chama ndicho kimetengeneza ilani inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya tano.
 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ambaye pia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Tabora mara baada ya kumaliza kutia saini kitabu cha wageni na kuwataka wana CCM wote kuisoma kwa umakini ilani ya uchaguzi ya CCM 2015-2020 kwani ndio inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 5.
 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo ya mitambo ya kurusha matangazo ya TBC mkoani Tabora kuroka kwa Mkuu wa kituo cha TBC Tabora Ndugu AMani Ganally Kalelesi.
 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (mwenye kaunda suti nyeusi) akiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii wa kwaya kutoka kikosi cha 823 KJ Msange JKT  mkoani Tabora.
 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na watumishi na wadau walio chini ya wizara yake wa mkoa wa Singida ambapo alisisitiza kuwa kila manispaa inatakiwa kuwa na afisa habari ambaye anapata nafasi ya kuingia kwenye vikao vya maamuzi.

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO KWA JESHI LA POLISI, CHUO CHA POLISI ZANZIBAR.

se1
Makamu wa pili wa Raisi Balozi Seif Ali Iddi akipokea salamu ya heshima kwa Maafisa na wahitimu wa mafunzo ya uongozi mdogo katika chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.
se2
Makamu wa pili wa Raisi Balozi Seif Ali Iddi akikagua kwaride rasmin aliloandaliwa na Jeshi la Polisi alipofika kufunga mafunzo ya ungozi mdogo katika chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.
se3
Makamu wa pili wa Raisi Balozi Seif Ali Iddi akimvisha  cheo mmoja waaskari waliofanya vizuri zaidi G.944 Makuza Azekiel Shuka kwa niaba ya wenzake katika sherehe ya kumaliza mafunzo ya uongozi mdogo kwa ngazi ya Koplo, Sajenti na Stafu Sajenti yaliyofanyika Chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.
se4
Maafisa na wahitimu wa uongozi mdogo wa Jeshi la Polisi wakitoa saluti kwa mgeni rasmini Makamu wa pili wa Raisi Balozi Seif Ali.
se5
Makamu wa pili wa Raisi Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia wahitimu wa mafunzo ya uongozi mdogo wa Jeshi la Polisi katika viwanja vya Jeshi hilo Ziwani Zanzibar. Picha zote na Makame Mshenga-Habari Maelezo Zanzibar.

BONDIA IBRAHIMU CLASS ‘KING CLASS MAWE’ ASHINDA KWA POINT NCHINI PANAMA


MHA
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kulia akiwa na mpinzani wake Zapir Rasulov wa Russia baada ya kumshinda kwa pointi
BONDIA Mtanzania Bingwa wa Afrika wa mikanda ya WPBF na U.B.O Afrika Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ aprili 15  mwaka huu amefanya kweli  baada ya kumtwanga bila huruma Bondia  Zapir Rasulov wa Russia baada ya kufanikiwa kumpiga kwa pointi katika mpambano uliofanyika kwenye  ukumbi wa Hotel ya Convenciones Vasco  Panama City, nchini  Panama 

TAARIFA YA SERIKULI KUTOKA IKULU

LEO1 LEO2

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA MATUKIO ZAIDI UZINDUZI WA (FLYOVER) MAKUTANO YA BARABARA YA MADELA NA NYERERE

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Profesa Makame Mbarawa  alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Dkt Norman Sigalla  alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa japan nchini Mhe  Masaharu Yoshida alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa kampuni ya SOMITOMO alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea saluti toka kwa Afisa Mwandamizi wa Uhamiaji alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Mhe Raymond Mushi  alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Meya wa Temeke Mstahiki Abdallah Chaurembo alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulika Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora  alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale kabla ya  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Mbunge wa Segerea  Mhe Bonna Kaluwa kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Msanii akicheza na nyoka
 Wimbo wa Taifa
 Baadhi ya wafanyakazi wa mradi huo
 Brass Band ya Polisi ikiongoza Wimbo wa Taifa
 Wanahabari kazini
Mkuu wa Mkoa wa Dar  es salaam Mhe Paul makonda akiongea wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
 Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akisoma muhtasari wa Mradi kabla ya  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali Bi. Tuma Abdallah na Timu yake walikuwepo. Makao Makuu ya shirika hilo lipo jirani na TAZARA
Sehemu ambapo mradi utapita
Mwanahabari akipiga picha sehemu ya maeneo ya Mradi
balozi wa Japan akiongea
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Dkt Norman Sigalla  akiongea wakati wa  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Meya wa Temeke Mstahiki Abdallah Chaurembo akisalimia wananchi kwenye hafla ya  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kwiyeko akisalimia wananchi
Naibu waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Profesa Makame Mbarawa  akiongea wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa TANROADS katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa TANROADS katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.

DART YAHIMIZWA KUELIMISHA WAKAZI WA DAR

Dart4_zps86ebdba6
ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya mradi wa mabasi yaendayo kasi kuanza, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa taasisi zinazohusika na utekelezaji wa mradi huo kuhakikisha wanatoa elimu kwa umma ili kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza.
“Katika kipindi hiki cha majaribio, ambacho madereva wameanza kutumia barabara za BRT, hakikisheni mnatoa elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusu namna ya kuvuka barabara, kuzuia wenye bodaboda kutumia barabara hizo kuelezea na matumizi ya taa za barabarani kwa madereva wote,” amesema

BONDIA VICENT MBILINYI AENDELEA KUJIFUA CHINI YA KOCHA WAKE SUPER D

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D ‘ Kushoto akimfundisha bondia Vicent Mbilinyi jinsi ya kupiga ngumi za mkunjo wa chini ‘Upcut’ wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa kikapu  Shule ya Uhuru wasichana ‘Uhuru GYM’ Picha naSUPER D BOXING EWS
Bondia Aloyce Kakinda kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea Uhuru GYM kariakoo Dar es salaam

HAKUNA MUDA WA KULALA, WAZIRI MKUU AIAMBIA DART

dart
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaambia watendaji na wadau wa mradi Mabasi Yaendayo Haraka wa jijini Dar es Salaam (BRT) kuwa hawana muda wa kulala wa kupumzika na akawataka wakamilisha haraka vipengele vichache vilivyobakia ili mradi huo uweze kuanza kazi mapema iwezekanavyo
Alisema taarifa za kila mtumiaji zitaunganishwa na simu yake ya mkononi ambapo mhusika ataweza kujua kwa urahisi salio la fedha lililomo kwenye kadi yake.

Nape:Nitarudisha heshima ya Tasnia ya Habari nchini.

nap1
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akizungumza na wadau waliopo chiniya wizara yake pamoja na watumishi wa sekretarieti ya mkoa wa Mara wakati wa ziara ya kutembelea maeneo yanayohusu sekta za wizara, kupokea taarifa ya mkoa na kuwapatia  vitendea kazi  maafisa mawasiliano wa mkoa huo. Wengine pichani ni Katibu Tawala mkoa wa Mara Bw.Benedict Ole Kuyan(wa kwanza kulia),Mkuu wa wilaya ya Butiama Bi.Anarose Nyamubi(wa tatu kulia) na Kaimu meya wa manispaa Bw.Wambura Kajala.
nap2
Kaimu Mkuu wa mkoa wa shinyanga Bi.Josephine Matiro akizungumza jambo wakati wa kumkaribisha Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye baada ya kuwasili mkoani hapo ili kujua changamoto mbalimbali za watumishi walio chini ya wizara yake na kuongea na wadau wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo.
nap3
Katibu Tawala mkoa wa Mara Bw.Benedict Ole Kuyan akizungumza na wadau mbali mbali wa sekta za Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo pamoja na watumishi wa serikali wa mkoa wa Mara leo hii wakati wa Ziara ya Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye mkoani humo.
nap4
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akipata maelezo kutoka kwa fundi mitambo mwandamizi wa shirika la utangazaji Tanzania(TBC) Bw.John Igomego jinsi mitambo yakurushia matangazo ya shirika hilo inavyofanya kazi mkoa wa Mara.
nap5
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akizungumza  na katibu wa chama cha mapinduzi(CCM) mkoani Shinyanga Alhaj Saad Kusilawe(mwenye kofia ya njano) kuhusu maendelezo ya uwanja wa kambarage ambao unamilikiwa na chama hicho mkoani hapo.Mhe.Nape amewaasa viongozi wa mkoa huo kutafta wadhamini ili kuuboresha uwanja huo.
…………………………………………………………………………………………………………….
Na Daudi Manongi-WHUSM
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo amesema  kuwa atahakikisha heshima ya tasnia ya habari inarudi  baada ya kupitishwa kwa  mswada wa sheria ya huduma za vyombo vya Habari.
Waziri Nape ameyasema hayo alipokuwa katika katika ziara mkoani Mara na Shinyanga na kutembelea maeneo yanayohusu sekta za wizara hiyo na kupokea taarifa ya mkoa na kuwapatia  vitendea kazi  maafisa mawasiliano wa mikoa hiyo.
“Ule mswada utatoa tafsiri ya mwandishi wa habari,maana mwandishi wa habari lazma awe na sifa.Siku hizi anaweza kuwa mtu anauza ndizi alafu akajifunza kupiga picha akajiita na yeye mwandishi wa Habari.Ukifanya ivyo tasnia hii inakosa heshima,kwaiyo sheria ile itatafsiri nani mwandishi wa habari”Alisema Nape.
Aidha Waziri Nape alisema kuwa kwa kufanya hivi sheria hii itatibu tatizo la kulipwa vibaya na wamiliki wa vyombo vya habari maana mwandishi huyu atakuwa na elimu,maana kama hana elimu mmiliki ataajili mtu anaejua kusema wa kijuweni alafu ndo anamuajiri anakuwa mtangazaji  wa radio yake kisa tu anajua kusema.
Pamoja na hayo waziri uyo mwenye dhamana ya wizara nyeti ya habari alisema kuwa sheria hiyo pia itazungumzia maslahi ya mwandishi wa habari,itawabana wamiliki na mswada huu ukipita utarudisha heshima ya tasnia hii ya habari katika nchi yetu.
Akizungumzia upande wa radio kujenga nchi waziri nape amewaasa waandishi wa habari na watangazaji wa radio kujenga amani ya nchi yetu kwa kuwaunganisha watanzania  kupitia radio zao  na si kuwatenganisha akitolea mfano wa yaliyotokea nchini Rwanda kwamba radio zilitumika kuhamasisha mauaji.
Mheshimiwa Nape pia amehaidi kuimarisha vitengo vya mawasiliano  serikalini ikiwa ni pamoja na kuwapa maafisa hao vitendea kazi, pia ameliomba jeshi la polisi kutoa ushirikiano katika kutoa taarifa na amehaidi kuzungumza na jeshi hilo ili waandishi hawa waweze kupata taarifa kirahisi.
Waziri uyo yupo katika ziara ya mikoa ya Kagera,Mara,Shinyanga,Tabora na Singida ikiwa na lengo kuu la kuileta Wizara ya habari,utamaduni,Sanaa na Michezo mikoani na wilayani karibu na wadau.

INAFRIKA BAND YAFANYA KWELI NASHVILLE, TENNESSEE


Wanamuziki wa bendi ya Inafrika toka Tanzania wakipata picha ya kumbukumbu Nashville jimbo la Tennessee ambapo wapo tangia March 18, 2016mpaka April 18, 2016 kwenye tamasha linaloandaliwa kila mwaka na Dolly Parton linalofanyika kwenye park iitwyo Dollywood iliyopo mjini humo. Tamasha hilo hushirikisha bendi mbalimbali kutoka mabara yote, Bara la Afrika liliwakilishwa na Inafrika Bendi kutoka Tanzania.

Wanamuziki wa Inafrika Bendi wakiwa katika picha ya pamoja na Dolly Parton.

Wanamuziki wa Inafrika wakipata picha ya kumbukumbu kwenye bango la Dollywood Park.

Picha ya pamoja.

RC DAR ES SALAAM NA KOREA KUSINI WAWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA CHANIKA MANISPAA YA ILALA


 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) na Makamu wa Rais wa Shirika la Koica la nchini Korea Kusini, Taemyon Kwon, wakiweka tofali kwa pamoja kuashiria uweka wa jiwe la msingi la Hospitali ya Chanika iliyopo Manispaa ya Ilala, inayojengwa kwa ufadhili wa nchi hiyo Dar es Salaam jana. Ujenzi huo hadi kukamilika utagharimu sh. bilioni 8.8  za kitanzania.
Hutuba na taarifa ya mradi huo zilisomwa.
 Balozi wa Korea nchini Geum-young Song (katikati), akizungumza katika hafla hiyo.
Wananchi wa Chanika wakiwa kwenye hafla hiyo ya kuweka jiwe la msingi la Hospitali yao.
Diwani wa Kata ya Chanika, Mr Massaburi akitoa neno la Shukurani kwa RC Makonda, Serikali pamoja na Serikali ya Korea kwa ujenzi wa Hospitali hiyo.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Mr Isaya (kulia), Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe, Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala, Victriana Ludovic na Meneja wa Mradi wa ujenzi wa Hospitali hiyo Mr Kim wakiweka jiwe la msingi la Hospitali hiyo.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chanika wakiwa kwenye hafla hiyo.
Meneja wa Mradi huo, Mr Kim akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na ujembe wake ramani ya majengo ya Hospitali hiyo.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chanika wakitoa burudani katika hafla hiyo.
Wasanii wakitoa burudani katika hafla hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Manispaa ya Ilala na Korea Kusini

……………………………………………………………………………………………………

Na Dotto Mwaibale
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na balozi wa Korea nchini Geum-young Song wameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Chanika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapaaaaaaaaaao itakapo kamilika itakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi 4000.
Akizungumza katika hafla ya kuweka jiwe hilo la msingi Chanika jijini Dar es Salaam jana, Makonda aliishukuru serikali ya Korea kwa msaada wa ujenzi wa Hospitali hiyo ambayo itawasaidia wananchi wa Chanika na kupunguza msongamano wa wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Amana.
“Tunawashukuru hawa ndugu zetu wa Korea Kusini kwa msaada wa kutujengea Hospitali hii nawaombeni wananchi kuitunza ili kila mtakapokuwa mnafika kutibiwa tuwakumbuke wakorea” alisema Makonda.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala, Victorina Ludovic alisema ujenzi wa Hospitali hiyo utasaidia kusogeza huduma muhimu karibu na wananchi wapatao 398,882 kutoka maeneo ya Chanika, Msongola, Zingiziwa na Majohe hivyo kupunguza muda na gharama ambazo wananchi wamekuwa wakitumia kufuata huduma hizo umbali wa kilometa 30 kwenda hospitali ya Amana ya Rufaa.
Ludovic alisema ujenzi wa mradi huo hadi utakapokamilika  utagharimu dola la milioni 4 sawa na sh.bilioni 8.8 za kitanzania.
Balozi  wa Korea nchini , Geum-young Song amesema wakorea hawafurahishwi wanapoona mama na mtoto wanapoteza maisha wakati wa kujifungua nchini Tanzania.
“Nchi yetu kupitia shirika la Koica imeamua kujitolea kujenga hospitali hii ili kuwasaidia wananchi wa Tanzania kupata huduma bora ya afya ya mama na mtoto wakati wa kujifungua kwani hatupendi kuona wanapoteza maisha wakati wa kujifungua” alisema Young Song.
Balozi huyo aliipongeza serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na nchi ya Korea katika shughuli mbalimbali jambo linaloimarisha uhusiano baina ya wananchi wa nchi hizo.

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA JUU (FLYOVER) MAKUTANO YA BARABARA YA MADELA NA NYERERE

taz1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifungua pazia kuashiria  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.(PICHA NA IKULU na  Raymond Mushumbusi MAELEZO).
taz2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifungua pazia kuashiria  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
taz3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifungua pazia kuashiria  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
taz5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya namna mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
taz6
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipungia mkono wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.
taz7
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipungia mkono wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam
taz8 taz9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.
taz12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi na kuanza kwa ujenzi  wa mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam.
taz13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbaliwa kitaifa na kimataifa wakati wa ufunguzi rasmi na kuanz akwa ujenzi  wa mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam.

No comments :

Post a Comment