Wednesday, March 30, 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU AWAKEMEA WANAOJICHUKULIA SHERIA KWA WATUMISHI WA AFYA Ummy Mwalimu

Ummy Mwalimu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula kufuatia tukio la mmoja wa Madaktari kupigwa na mwananchi. Kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Kambi.
………………………………………
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akemea tabia inayotaka kujengeka ndani ya jamii ya kuwashambulia watumishi wa afya hasa Madaktari na Wauguzi.
Amevitaka vyombo ya dola kuwachukulia hatua wananchi wanaojihusisha na vitendo hivi ambavyo vitaathiri utoaji wa huduma za afya kwa wananchi hasa wa kipato cha chini.
Mhe Ummy amewasili Mtwara jana akiongozana na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Kambi ambapo alifanya mazungumzo na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula.
Amewaonya wananchi kutoitumia vibaya dhamira ya dhati ya Rais Dkt. John Magufuli na Serikali ya kuimarisha nidhamu na uwajibikaji katika utumishi wa umma kwa kujichukulia sheria mkononi.
Ummy Mwalimu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wazee aliyefika kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula mara baada kuwasili hospitalini hapo kuzungumza na wafanyakazi.
Ummy Mwalimu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na baadhi ya wananchi waliokusanyika nje ya hospitali kufuatia tukio la mwananchi kumpiga daktari.
Ummy Mwalimu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akisikiliza maoni kutoka kwa mmoja wa wananchi aliyefika hospitalini hapo.
Ummy Mwalimu
Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula kufuatia tukio la mmoja wa Madaktari kupigwa na mwananchi. Kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Kambi.
Ummy Mwalimu
Baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula wakimsikiliza Mh. Ummy Mwalimu (hayupo pichani).
Ummy Mwalimu
Mh. Ummy Mwalimu akisikiliza hoja mbalimbali za madktari wa hospitali hiyo.
Ummy Mwalimu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akikagua neti ya mmoja wa mama aliyejifungua katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula.
Ummy Mwalimu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akifurahi kumuona mmoja wa watoto aliyezaliwa katika wodi ya wazazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula mara baada ya kufanya mazungumzo na watumishi wa hospitali hiyo.
IMG-20160329-WA0058
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akifurahi jambo na mmoja wa kina mama alipotembelea wodi ya wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula.
Ummy Mwalimu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungukia baadhi ya maeneo ya hospitali hiyo.

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SHILINGI BILIONI 116.4 KUTOKA JAPAN

T2Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akikisaini hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Japan leo jijini Dar es salaam ambao utaiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za Kitanzania. Kulia ni Balozi wa Japan nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida.
T1Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano walizosaini na Serikali ya Japan utakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za Kitanzania. Kulia ni Balozi wa Japan nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida.
T3Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kusaini hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Japan leo jijini Dar es salaam ambao utaiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za Kitanzania.
T4Balozi wa Japan nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kusaini hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Japan leo jijini Dar es salaam ambao utaiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za Kitanzania.
T5Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati wa hafla ya kusaini hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Japan  leo jijini Dar es salaam ambao utaiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za Kitanzania.
(Na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

Kamati ya kudumu ya Bunge ya miundombinu yapongeza mradi wa daraja la Kigamboni

D2Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu ikiwa katika ziara katika mradi wa daraja la Kigamboni ikiwa ni ratiba ya kamati mbalimbali kutembelea miradi mbalimbali.
D3Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu Mhe.Prof Richard Sigalla akitoa ushauri kwa katibu Mkuu wa Wizra ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga wakati kamati hiyo ilipotembelea mtadi wa daraja la Kigamboni.
D4Mhandisi wa mradi wa daraja la Kigamboni Mhandisi Hamis Mattaka akitoa maelezo kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu ilipotembelea mradi huo.
D5  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga akifafanua jambo kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu ilipotembelea mradi huo kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSf Prof Gidius khayarara.D7Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu Mhe.Prof Richard Sigalla akizungumza na Mhandisi wa maradi wa daraja la Kigambon Mhandisi Hamis Mattaka kuhusu maendeleo ya mradi wakati kamati ya kudumu ya Bunge ya maendeleo ya Miundombinu ilipotembelea mradi huo.
D6Eneo la sehemu ya kuingilia katika Daraja jipya la Kigamboni kwa upande wa Kigamboni.
 Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO

BENKI YA KILIMO YAJIDHATITI KUSAIDIA UPATIKANAJI WA MASOKO NCHINI

B2Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Robert Pascal (Kulia) akiwasilisha Mada kuhusu Wajibu wa TADB katika kuendeleza kilimo nchini wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
B1Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo Bw. Robert Pascal wakifuatilia mada wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
B3Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Wapili kulia) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania, Bibi Janet Bitegeko ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB.
B4Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania, Dkt. Sinare Yusuf Sinare (Kushoto) na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Wapili Kushoto) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.

Tume ya Kurekebisha Sheria kukabidhi taarifa ya Utafiti wa Sheria ya Ununuzi wa Umma

New Picture (1)

UFAFANUZI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MAFAO YA WASTAAFU (MINIMUM PENSION BENEFITS)

indexTAARIFA KWA UMMA
…………………………………………………………………
Hivi karibuni Mamlaka imekuwa ikipokea Malalamiko mengi kutoka kwa wanachama na wadau mbalimbali wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii kuhusu kuwepo kwa tofauti ya kima cha chini cha malipo ya mafao ya wastaafu. Malalamiko haya yanajitokeza kufuatia kutolewa kwa Tangazo la Serikali Na. 285 la mwaka 2015 kuhusu kupandishwa kwa kima cha chini cha Mafao kwa baadhi ya wastaafu. Kufuatia malalamiko hayo, Mamlaka inatoa ufafanuzi kama ifuatavyo:
  • Mnamo mwezi Julai mwaka 2015, Wizara ya Fedha kupitia Tangazo la Serikali Na. 285 la tarehe 30/6/2015 (the Public Services Retirement Benefits (Minimum Pensions) Order, 2015 (Government Notice No GN N. 285 of 30/06/2015) baada ya kuridhiwa na Bunge, ilipandisha kima cha chini cha malipo ya mafao kwa wastaafu chini ya kifungu cha 30 cha Sheria ya PSPF. Kwa mujibu wa Tangazo hilo, kima cha chini kwa malipo ya pensheni ya kila mwezi kiliongezeka kwa kiasi cha shilingi 45,000/- pamoja na asilimia 10 ya mafao ya zamani na hivyo kufanya kima cha chini kupanda kufikia kiasi cha takribani Shilingi laki moja (100,000/=).
  • Mamlaka inapenda kufafanua kwamba, ongezeko hilo liliwalenga wastaafu waliokuwa kwenye mfumo wa pensheni wa zamani wa kutochangia (Non-Contributory) wanaolipwa mafao yao na Hazina kupitia Mfuko wa PSPF na HALIKUWAHUSU wastaafu waliopo katika Mifuko ya Msingi (Mandatory Schemes) yaani NSSF, PPF, LAPF, PSPF na GEPF.
  • Aidha, ni muhimu ikaeleweka kwamba, utaratibu wa kuweka kima cha chini cha mafao kwa wanachama wa Mifuko ya Msingi (Mandatory Schemes) yaani NSSF, PPF, LAPF, PSPF, GEPF, NHIF & WCF umeainishwa katika kifungu cha 25 cha Sheria ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii, Sura ya 135 kikisomwa pamoja
na kifungu cha 36 cha Sheria hiyo. Kwa mujibu wa vifungu hivyo, kima cha chini cha malipo ya mafao ya wastaafu hupangwa na Mamlaka baada ya kufanya tathimini (Actuarial Valuation) na kushirikisha wadau. Lengo la kufanya tathimini kabla ya kupandisha kima cha chini cha malipo ya mafao ni kujiridhisha juu ya uwezo wa Mfuko husika kubeba ongezeko linalopendekezwa. Kwa kupitia utaratibu huu, mwaka 2014 Mamlaka ilitengeneza na kutoa Kanuni za Uwianishaji wa Mafao (Pensheni Benefit Harmonisation Rules). Kanuni hizi pamoja na mambo mengine zinaainisha kima cha chini cha malipo ya mafao kwa wastaafu kuwa ni asilimia 40 ya kima cha chini cha mshahara wa Sekta husika. Kununi hizi zinatumika kwa Mifuko ya Msingi ambayo ni NSSF, PPF, LAPF, PSPF & GEPF.
  • Vile vile katika jitihada za kuendelea kuimarisha Sekta, Mamlaka imekamilisha zoezi la kufanya tathimini ya Mifuko na Taarifa ya Mtathmini hiyo ipo katika hatua ya majadiliano na wadau wakiwemo wawakilishi wa wanachama. Pamoja na mambo mengine, taarifa hiyo itakuja na mapendekezo mahsusi ya namna bora ya kuboresha mafao ya wanachama. Hivyo, Mamlaka inawasihi wanachama na wadau wengine wote wawe na subira wakati huu ambao taarifa ya Mtathimini inafanyiwa kazi.
Imetolewa na Kitengo Cha Mawasiliano
Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
S.L.P 31846
Tovuti: www.ssra.go.tz
Dar Es Salaam

WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI USAFIRI WA ANGA ( CIVIL AVITIATION MASTER PLAN) DAR ES SALAAM

10Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi  na Mawasiliano, Dkt Leonard Chamuriho(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari(Kulia)  na Kaimu Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege  Mhandisi George Sambali (kushoto) wakiwa kwenye  warsha ya kujadili rasimu ya Mpango Kamambe Sekta ya Usafiri wa Anga( The Civil Aviation master Plan)  warsha hiyo ilifanyika katika ofisi za  Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) ), Banana – Ukonga jijini Dar es Salaam leo.
11Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi  na Mawasiliano, Dkt Leonard Chamuriho akifungua warsha ya kujadili rasimu ya Mpango Kamambe wa Sekta ya Usafiri wa Anga( The Civil Aviation master Plan)  iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA). Banana – Ukonga jijini Dar es Salaam leo.
12Baadhi ya wadau mbali mbali wa sekta  ya usafiri wa anga wakishiriki warsha ya kujadili rasimu  ya Mpango wa Sekta ya Usafiri wa Anga( The Civil Aviation master Plan)   uliofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Banana – Ukonga jijini Dar es Salaam leo.
PICHA NA MPIGA PICHA WETU

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAANZA VIKAO VYA MAPITIO YA RASIMU YA BAJETI YA WIZARA HIYO KWA MWAKA 2016/17

9Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akizungumza katika kikao cha Mapitio ya Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2016/17 kwa Jeshi la Polisi katika Wizara yake kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo na kuhudhuriwa na Viongozi Wakuu wa Jeshi hilo pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Wapili kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akifuatiwa na Naibu IGP, Abdulrahman Kaniki. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, wa Wizara hiyo, Haji Janabi.
6Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akizungumza na Viongozi Wakuu wa Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake katika kikao cha Mapitio ya Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2016/17 kwa Jeshi la Polisi. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu.
8Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu (kulia) alipokuwa anamfafanulia jambo katika kikao cha kupitia  Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2016/17 ya Jeshi lake. Kikao hicho kilihudhuriwa na Viongozi Wakuu wa Jeshi hilo pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara hiyo kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Prof. Mbarawa afanya ziara kushtukiza KOJ Kurasini.

1Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa TPA eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini jana jiji Dar es salaam. Wa kwanza kulia Mhandisi anayefanya kazi eneo la KOJ Jabiri Muyones.
2Kapteni Abdulla Mwingamno (kulia) akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) baadhi ya vifaa vya kituo cha kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini jana jiji Dar es salaam.
3Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongozana na Mhandisi anayefanya kazi eneo la KOJ Jabiri Muyones alipotembelea TPA eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini jana jiji Dar es salaam.
4Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akikagua baadhi vipuri eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini jana jiji Dar es salaam.
5Eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini jiji Dar es salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI AFANYA ZIARA MKOANI KIGOMA

KIS1
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akisalimiana na wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa yanayohudumia wakimbizi katika Kambi ya muda ya NMC, iliyoko mkoani Kigoma, kushoto ni Mratibu wa Wakimbizi  Mkoani  Kigoma, Tonny  Samwel  Laiser.Naibu Waziri yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
KIS2
Msimamizi  wa  Kambi ya muda ya NMC, Jordan Emmanuel (wa kwanza kushoto), akimuonyesha Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, jinsi mfumo wa jiko la kupikia chakula  kambini hapo unavyofanya kazi.Naibu Waziri yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
KIS3
Sehemu ya vitanda vipya vikiwa katika moja ya mabweni ya Kambi ya muda ya wakimbizi ya NMC , tayari kwa kufungwa na kuanza kutumika na wakimbizi wanaohifadhiwa kambini hapo.
KIS4
Naibu Waziri wa Wizara  ya  Mambo ya Ndani  ya  Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akizungumza na  Mkuu wa Wilaya ya Kakonko, mkoani  Kigoma, Peter Toima Kiroya (wa kwanza kushoto), wakati  walipotembelea  iliyokua kambi ya Karago iliyotumika kuhifadhi wakimbizi.Kulia ni Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi Mtendeli, Innocent Mwaka.Naibu Waziri yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
KIS5
Naibu Waziri wa Wizara  ya  Mambo ya Ndani  ya  Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akifafanua jambo kwa Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani Ofisi ndogo ya Kibondo, Dost Yousafzai(kushoto), wakati alipotembelea iliyokuwa kambi ya Wakimbizi ya Karago,Wilayani Kibondo mkoani Kigoma.
KIS6
Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani Ofisi ndogo ya Kibondo,Dost Yousafzai (kushoto), akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia), wakati ya ziara ya Naibu Waziri kutembelea ilipokuwepo kambi ya wakimbizi ya Karago, wilayani Kibondo. Naibu Waziri yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
KIS7
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wakimbizi wa Burundi (hawapo pichani) wanaoishi katika kambi ya Mtendeli, iliyoko wilayani Kakonko mkoani Kigoma.Naibu Waziri yuko Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI-MKOANI KIGOMA

D1Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akisalimiana na wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa yanayohudumia wakimbizi katika Kambi ya muda ya NMC, iliyoko mkoani Kigoma, kushoto ni Mratibu wa Wakimbizi  Mkoani  Kigoma, Tonny  Samwel  Laiser.Naibu Waziri yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
D7Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wakimbizi wa Burundi (hawapo pichani) wanaoishi katika kambi ya Mtendeli, iliyoko wilayani Kakonko mkoani Kigoma.Naibu Waziri yuko Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
D2Msimamizi  wa  Kambi ya muda ya NMC, Jordan Emmanuel (wa kwanza kushoto), akimuonyesha Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, jinsi mfumo wa jiko la kupikia chakula  kambini hapo unavyofanya kazi.Naibu Waziri yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
D3Sehemu ya vitanda vipya vikiwa katika moja ya mabweni ya Kambi ya muda ya wakimbizi ya NMC , tayari kwa kufungwa na kuanza kutumika na wakimbizi wanaohifadhiwa kambini hapo.
D4Naibu Waziri wa Wizara  ya  Mambo ya Ndani  ya  Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akizungumza na  Mkuu wa Wilaya ya Kakonko, mkoani  Kigoma, Peter Toima Kiroya (wa kwanza kushoto), wakati  walipotembelea  iliyokua kambi ya Karago iliyotumika kuhifadhi wakimbizi.Kulia ni Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi Mtendeli, Innocent Mwaka.Naibu Waziri yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
D5Naibu Waziri wa Wizara  ya  Mambo ya Ndani  ya  Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akifafanua jambo kwa Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani Ofisi ndogo ya Kibondo, Dost Yousafzai(kushoto), wakati alipotembelea iliyokuwa kambi ya Wakimbizi ya Karago,Wilayani Kibondo mkoani Kigoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

SERIKALI YAJIPANGA KUWASAIDIA WAKULIMA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

DSC_1667
Wageni rasmi katika mkutano huo, Wa kwanza kushoto ni Mtafiti kutoka Taasisi ya Mtandao wa Kutathimini Sera za Chakula, Kilimo na Maliasili (FANRPAN), Njongenhle Nyoni, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida na Mkuu wa Kitengo cha Mazingira kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bi. Shakwaanande Natai.
DSC_1671Baadhi ya wageni waliohudhuria katika mkutano huo kujadili mpango wa Kilimo Salama (CSA).
DSC_1682Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida akitoa neno la ufunguzi.
DSC_1697
DSC_1701
Mkuu wa Kitengo cha Mazingira kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bi. Shakwaanande Natai akielezea Kilimo Salama (CSA).
DSC_1749
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuendelea na mkutano huo.
DSC_1754
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mazingira kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bi. Shakwaanande Natai.
DSC_1759
Karl Deering kutoka Taasisi ya CARE akizungumzia Mpango wa Kilimo Salama Afrika (ACSAA)
DSC_1769
Baadhi ya wageni katika mkutano huo wakichangia hoja
DSC_1772
DSC_1819
Washiriki wa mkutano wakiwa katika makundi kujadili kuhusu Kilimo Salama (CSA)
DSC_1823
DSC_1829
DSC_1914
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uwezeshaji wa ESRF, Doris Likwelile akifunga mkutano.
 

UBALOZI WA INDIA NCHINI WAADHIMISHA ITEC DAY

3 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora  Mh. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza katika maadhimisho ya  Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi  na Kiuchumi  kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha  India jijini  Dar es Salaam.
1 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora  Mh. Angellah Kairuki (Mb) akiwasha mshumaa kuashiria uzinduzi wa maadhimisho ya  Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi  na Kiuchumi  kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha  India jijini  Dar es Salaam.  Anayeshuhudia ni Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya .
2 
Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora  Mh. Angellah Kairuki (Mb) wakati wa maadhimisho ya  Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi  na Kiuchumi  kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha  India jijini  Dar es Salaam.
PICHA NA MPIGA PICHA WETU

SERIKALI KUSAIDIANA NA TAASISI YA MILLEN MAGESE MAPAMBANO DHIDI YA TATIZO LA ENDOMETRIOSIS

DSC_8548Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akitoa hotuba yake katika semina hiyo. Kushoto ni Mwasisi wa Taasisi ya Millen Magese,

Hati za viwanja vya Bayport zatolewa kwa mtindo wa aina yake

Meneja Biashara wa Bayport Financial Services, Thabit Mndeme, kushoto akimpatia hati ya kiwanja cha Vikuruti, mteja wao Ibrahim Yusuph Ismail, nyumbani kwao Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo mchana. Kwa wiki hii tu Bayport imeamua kuwapelekea hati za viwanja wateja wao katika maeneo yao ya makazi na maofisini kwao.

Meneja Biashara wa Bayport Financial Services, Thabiti Mndeme, kushoto akizungumza jambo wakati anamkabidhi hati yake ya kiwanja mteja wao Neema Jameson Nawita, jijini Dar es Salaam leo mchana.

No comments :

Post a Comment