Wednesday, March 30, 2016

BENKI YA KILIMO YAJIZATITI KUSAIDIA UPATIKANAJI WA MASOKO NCHINI

 Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Saidi Mkabakuli akitoa maelezo ya kuhusu TADB kwa mmoja wa wadau waliotembela Meza ya TADB wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. 
 
 Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Robert Pascal (Kulia) akiwasilisha Mada kuhusu Wajibu wa TADB katika kuendeleza kilimo nchini wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania, Dkt. Sinare Yusuf Sinare (Kushoto) na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Wapili Kushoto) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.

 Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Soni (Kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Robert Pascal (Katikati) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mmoja wa wadau waliohudhuria warsha hiyo.
 Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kulia) akiagana na  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Katikati) naMwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania, Dkt. Sinare Yusuf Sinare (Kushoto) mara baada ya kufungua Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo Bw. Robert Pascal wakifuatilia mada wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
 Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Soni (Kulia) akioneshwa moja ya bidhaa zilizokuwa zikioneshwa katika Meza ya TADB wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Anayemuonyesha ni Afisa Maendeleo ya Biashara Mwandamizi wa TADB, Bw. George Nyamrunda.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Wapili kulia) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania, Bibi Janet Bitegeko ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB.

No comments :

Post a Comment