Wednesday, March 16, 2016

DARAJA KIGAMBONI KUFUNGULIWA APRILI 16, MWAKA HUU.

 Wazirib wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akipata maelezo
kutoka kwa Meneja Msimamizi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni Eng. Karim Mattaka
alipokagua daraja hilo leo jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo
kwa Meneja miradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Eng. John Msemo wakati
alipotembelea daraja la Kigamboni kuangalia ujenzi wa daraja la Kigamboni leo
jijini Dar es salaam.
  Mwonekano wa lango la kuingilia daraja la Kigamboni kwa upande wa Kigamboni, linavyoonekana pamoja na vyumba vya kukatia tiketi

No comments :

Post a Comment