Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais mstaafu Benjamin
Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 25, 2016. Mkutano huu
unakuja siku chache baada ya Rais kukutana na Rais mstaafu Kikwdete hapo
hapo Ikulu. (Picha na Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu
Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea barua kutoka kwa Jenarali Omar
Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau, Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar
es Salaam leo Februari 25, 2016. Pamoja na mambo mengine, Rais wa Guine Bissau amempongeza Dkt. Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Genarali Omar
Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar
es Salaam Februari 25, 2016. Pamoja na mambo mengine Mjumbe huyo alileta salamu
za pongezi kutoka kwa Rais wa Guinea Bisau
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Jenarali Omar Embalo mjumbe
Maalum wa Rais wa Guinea Bissau Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar es SalaamTANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA JPC NA ZAMBIA
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga
akiwakaribisha wageni waalikwa ambao ni Viongozi na Maafisa wa Serikali za
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zambia katika Mkutano wa Tume ya Kudumu ya
Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Zambia (JPC) unaofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa muda wa siku mbili kuanzia Fubruari
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchini
Zambia, Bi. Angela Mulenga ambaye aliambatana na ujumbe wa maafisa
walioiwakilisha Serikali ya Zambia katika Mkutano huo akijadili jambo na Bw.
Sylvester Mundanda.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Ramadhan Mwinyi akifungua
rasmi Mkutano wa JPC kati ya Tanzania na Zambia.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimaendeleo na
Mashirika ya Kimataifa, Bw. Sylvester Mundanda ambaye alimuwakilisha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya nchini Zambia akiwasilisha ujumbe wa
Serikali ya Zambia katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya
Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Samuel
Shelukindo akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Mhe. Balozi Ramadhan Mwinyi hayupo pichani ili aweze kufanya ufunguzi wa
Mkutano huo.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga
akiwakaribisha wageni waalikwa ambao ni Viongozi na Maafisa wa Serikali za
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zambia katika Mkutano wa Tume ya Kudumu ya
Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Zambia (JPC) unaofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa muda wa siku mbili kuanzia Fubruari leo Februari 25, 2016
Wajumbe
wajumbe






No comments :
Post a Comment