Monday, January 25, 2016

WAZAZI MKOANI MWANZA WASIKITIKA ELIMU BURE KUWABAGUA WANAFUNZI WA ELIMU YA WATU WAZIMA


Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Asa Mwaipopo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi katibu mkuu wa Ambassador FC, Bakari Khalid kwa  ajili ya maandalizi ya ligi daraja la pili mkoa wa Shinyanga..
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Asa Mwaipopo (kushoto) na Bakari Khalid Katibu mkuu wa timu ya Ambassador wakati wa hafla ya kukabidhi msaada kwa timu hiyo.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kukabidhi hundi timu ya Ambassador FC.
Katibu wa timu ya Ambassador FC, Bakari Khalid akizungumza mara baada ya kukabidhiwa hundi na Uongozi wa Mgodi wa Buzwagi.
Baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Buzwagi katika hafla ya makabidhiano ya hundi kwa timu ya Ambassador kwa ajili ya maandalizi ya ligi daraja la pili mkoa wa  Shinyanga.
Vikosi vya timu za Buzwagi fc na Ambassador vikiwa katika maandalizi wakati wa ukaguzi kabla ya kuanza kwa mhezo.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MH. AMOS MAKALLA AFANYA ZIARA WILAYA YA SAME NA KUZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KARAMBA



Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla amefanya ziara wilaya ya same kwa kuzindua madarasa manne yenye madawati Shule ya msingi Jitengeni(kata ya Kihurio), kuzindua mradi wa Maji kijiji Karamba, kuweka jiwe la msingi jengo la upasuaji Kituo cha Afya Hedaru na kuzindua Maabara Tatu sekondari ya Makanya.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akifungua bomba la maji safi na salama kama ishara ya uzinduzi rasmi katika Maji kijiji Karamba wakati wa ziara hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa kijiji Karamba mara baada ya kuzindua mradi huo wa maji.
Mh. Amos Makalla (kushoto), akijiandaa kupanda mti wakati alipofanya ziara katika kijiji Karamba.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akifurahia mara baada ya kuzindua madarasa manne yenye madawati Shule ya msingi Jitengeni(kata ya Kihurio).
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makall akiweka jiwe la msingi jengo la upasuaji Kituo cha Afya Hedaru.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akiwa katika moja ya maabara mara baada ya kuzindua.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akizungumza na wananchi wa katika kijiji Karamba.
Wananchi mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla alipokuwa akizungumzanao wakati wa ziara yake.
Wanafunzi wakimsikiliza kwa umakini, Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla.

No comments :

Post a Comment