Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya
Utalii,Bi. Uzeeli Kiangi akisisitiza jambo wakati alipokuwa
anamkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja.
Generali. Gaudence Milanzi kufungua Mkutano Mkutano wa Kamati ya
Uwezeshaji Utalii ( Tourism Facilitation Committee- TFC) uliofanyika leo
Mpingo House jijini Dar es Salaam wa kujadili changamoto mbalimbali
zinazoikabili sekta ya Utalii nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii, Meja. Generali. Gaudence Milanzi ( kulia) akiwa na
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Bw. Deogratius Mdamu (kushoto)
wakimsikiliza Mjumbe ( hayupo pichani ) wakati wa Mkutano wa Kamati ya

Mpingo House jijini Dar es Salaam akiwa anazungumzia changamoto
mbalimbali zinazoikabili sekta ya Utalii nchini na kutoa ushauri ya
namna kuuimarisha Utalii wa ndani ambao umekuwa bado ni changamoto kwa
wananchi wengi kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini
Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya
Uwezeshaji Utalii ( Tourism Facilitation Committee- TFC) wakiwa
wanajadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Utalii nchini
kwa kutoa maoni, ushauri na ufumbuzi wa changamoto ikiwa na kuchangia
mikakati mbalimbali itakayowezesha kusaidia kuhamasisha Utalii wa ndani.
…………………………………………………………………….
Na Mwandishi wetu
Wakati nchi nyingi Afrika zikiwa zinafanya jitihada mbalimbali
za kuimarisha Utalii wa ndani ambao umekuwa ndo wa uhakika katika
kuiingizia nchi mapato hata pale majanga yanapotokea, Nayo Tanzania
kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuhakikisha kuwa Utalii
wa ndani unakua kwa kasi inayotarajiwa.
Baadhi ya Majanga hayo yanayoathiri Sekta ya Utalii ni milipuko ya magonjwa kama Ebola, matukio ya Ugaidi Kenya na kushuka kwa Euro ya Ulaya dhidi ya Dola ya Marekani.
Hivyo Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Wadau wa Utalii nchini wamepanga mikakati ya kuhakikisha kuwa Utalii wa ndani unakuwa tegemeo tofauti na sasa ambapo Watalii kutoka nje ndio wamekuwa wamekuwa wakitembelea hifadhi zetu kwa kiasi kikubwa.
Akizungumza kwenye Mkutano wa Kamati ya Uwezeshaji Utalii ijulikanayo kama Tourism Facilitation Committee ( TFC) uliofanyika leo Mpingo House jijini Dar esSalaam , Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili, Meja. Generali. Gaudence Milanzi na Utalii amesema maendeleo ya Utalii yanahitaji sana Utalii wa ndani kuimarika baadala ya kudhani kuwa vivutio vya utalii vilivyopo ni kwa ajili ya wageni kutoka nchi za nje.
Meja. Generali. Milanzi amesema Utalii ni sekta nyeti sana katika kuliingiza Taifa pesa za kigeni lakini hata hivyo ni sekta ambayo imekuwa inaathirika kwa haraka sana pindi majanga yanapotokea nchi jirani hivyo ni lazima jamii ijengewe utamaduni wa kutembelea vivutio vya Utalii ili kuweza kujihakikishia Watalii wa ndani wanakuwa wengi.
Baadhi ya mikakati iliyopendekezwa na Wajumbe wa kamati ya Uwezeshaji Utalii (TFC) ni kuwawezesha maafisa Utalii wa Halmashauri wanatengewa bajeti ya kutosha, wanajengewa uwezo kuhusu ya vivutio vya utalii vilivyopo kwenye maeneo yao pamoja na Idara ya Utalii kufungua ofisi kila kanda ili kuweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.
Aidha,viwanja vya ndege vilivyopo nchini viimarishwe ikiwa pamoja na nchi kuwa ndege zake kama ilivyo kwa nchi jirani kama Kenya na Rwanda
Awali , Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii,Bi. Uzeeli Kiangi alisema Mkutano wa TFC hutoa fursa za kuziibua na kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Utalii hivyo Sekta Binafsi zinawajibu mkubwa wa kuhakikisha changamoto zinazoikabili sekta zinatafutiwa ufumbuzi
Aliongeza kuwa Idara ya Utalii imekuwa ikishiriki katika maonesho mbalimbali ya kitaifa lengo likiwa ni kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa kutembelea vivutio vya Utalii nchini.
Aidha, Prof Wineastor Anderson amesema sekta ya Utalii imekuwa inakua lakini si kwa kiwango cha kuridhisha hivyo jitihada za kutangaza utalii ndani na nje nchi upewe uzito unaostahili kwa kuiwezesha Bodi ya Taifa ya Utalii inatengewa bajeti ya kutosha.
Wakati huo huo, Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Utalii Tanzania ( TCT) Bw. Richard Rugimbana, amesema Utalii wa ndani ili uweze kukua suala la elimu linahitajika kutolewa ili kuweza kuibadilisha jamii ipende kutembelea vivutio vya Utalii.
Naye Kamanda wa Polisi Jk Ndaki anayeshghulikia dawati la Utalii ( Tourism Police Unit) amewahakikishia usalama wao watalii wa ndani na nje ya nchi kutembelea vivutio vya Utalii bila hofu yoyote kuwa Jeshi la Polisi nchini lipo macho muda wote.

WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI LA BM COACH
Basi la Kampuni ya BM linavyoonekana
baada ya kupata katika eneo la Mikese Mkoani Morogoro chanzo cha ajali
hiyo inadaiwa ni mwendo kasi wa Basi hilo uliopelekea kushindwa
kusimama.
………………………………………………………….
Tarehe 22/01/2016 majira ya
2130hrs huko eneo la Lubungo Tarafa ya Mikese Wilaya na Mkoa wa Morogoro
barabara ya Morogoro/d,Salaam gari yenye namba za usajili T. 916 BQX
YUTONG BUS mali ya kampuni ya BM COACH iliyokuwa ikiendeshwa na Aloyce
s/o William, 39yrs, Mkaguru, mkazi wa Morogoro ikitokea D’salaam
kuelekea Morogoro iligonga Ubavuni mwa gari yenye namba za usajili T.
184 CGX/T. 859 CXB FAW LORI iliyokuwa ikiendeshwa dereva asiyefahamika
jina alikimbia baada ya ajali, iliyokuwa ikitokea Morogoro kuelekea
D,salaam na kusababisha vifo kwa watu wawili waliokuwa wakisafiri kwa
bus; Capten D.G Minga, 35yrs, mkazi wa SKM Mgulani DSM (2) mwanaume
ambaye hajatambulika, umri kati ya miaka 35 – 45 na majeruhi kwa watu
arobaini na tatu waliokuwa wakisafiri kwa bus hilo na majeruhi
thelathini na tatu; Vedastiani d/o Bishagoma, 22yrs, Mhaya, mkazi wa
Msasani DSM, Samsoni s/o Jeru, 36yrs, Mchaga, mkazi wa Ubungo DSM,
Hadija d/o Omari, 28yrs, Mhehe, mkazi wa Tegeta DSM, Wifrida d/o
Bernard, 22yrs, Mfipa, Askari JWTZ Lugalo, mkazi wa D,Salaam, Silvester
s/o Sangayau, 38yrs, Mpogoro, mkazi wa Itete, Mwasiti d/o Sultan, 42yrs,
Mkutu, mkazi Tabata, Joyce d/o Edward, 32yrs, Muha, mkazi wa Geita,
Brayson s/o Chakiuke, 2yrs, Muha, mkazi wa D,salaam, Haridi s/o Siraji ,
34yrs, Mpogoro, mkazi wa Modeco, Flora d/o Mganga, 38yrs, Mluguru,
mkazi wa Modeco, Msungi d/o Hamisi, 30yrs, Mnyiramba, Kurasini DSM,
Mathar d/o Robin, 49yrs, Mchaga, mkazi wa Nanenane, Yasinta d/o
Severini, 38yrs, Mluguru, mkazi wa Kihonda, Baturi d/o Bakari, 35yrs,
mkazi wa Mafisa , Mkurya, mkazi wa Mafisa, Edwini s/o Ishuba, 22yrs,
Mchaga, mkazi wa Kihonda, Juma s/o Chota, 27yrs, Mluguru, mkazi wa
Karume Morogoro, Flora d/o Bernard, 22yrs, Mmakonde, mkazi wa Mafisa,
Greyson s/o Chagawa, 58yrs, Mpare, mkazi wa Ubungo DSM, Jamila d/o
Matola , 25yrs, Vituka DSM, Mwiyao, mkazi wa Yombo Vituka DSM, Francis
s/o Chua, 26yrs, Mchaga, mkazi wa Bigwa, Grayson s/o Eliniki , 44yrs,
Mpare, mkazi wa Mafiga, Endrew s/o Shaula, 54yrs, Mnyiramba, mkazi wa
Tanga, Christopher s/o Masele, 39yrs, Msukuma, mkazi wa Kihonda
Magorofani, Peter s/o Agostine Mushi, 42yrs, Mchaga, mkazi wa Vibandani,
Rose d/o Michael, 26yrs, Mchaga, mkazi wa Modeco, Wema d/o Tewele.
31yrs, Mbena, mkazi wa Kihonda, Joyce d/o Abisasi, 25yrs, Mjaluo, mkazi
wa Morogoro, Saidi s/o Mnyimba, 47yrs, Mluguru, mkazi wa Tabata DSM,
Jerani s/o Seif , 37yrs, Mluguru, mkazi wa Kinole, Robert s/o Muba,
46yrs , Mndali, mkazi wa Forest, Hanuari s/o Bakari , 19yrs , Msambaa ,
mkazi wa Forest, Anither d/o Temu, 39yrs , Mchaga, mkazi wa Bunju DSM ,
Scolastika d/o Aleni, 24yrs, Msambaa, mkazi wa Mabibo DSM na Bank s/o
Omari, 48yrs, Mluguru, mkazi wa Mwembesongo hawa wamelazwa hospitali ya
Mkoa wa Morogoro ward namba moja na namba tatu na majeruhi tisa
walitibiwa na kuruhusiwa hospitalini hapo. Chanzo cha ajali ni
mwendokasi wa gari T. 916
BQX YUTONG BUS.mtuhumiwa amekamatwa.
RPC MOROGORO
BQX YUTONG BUS.mtuhumiwa amekamatwa.
RPC MOROGORO
MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA LA MAJI YA DAWASCO YAENDELEA KAWE-TEGETA.
![]() |
| Kazi ya Kuunganisha Bomba la Maji kutoka mtambo wa uzalishaji wa Ruvu Chini ukiendelea katika eneo la Wazo Tegeta . |
![]() |
| Matengenezo ya Bomba hili ndiyo yaliyopelekea kuzimwa kwa mtamb wa uzalishaji maji wa Ruvu Chini ambapo kwa muda wa saa 48 huduma ya maji itakosekana katika jiji la Dar Es Salaam na Bgamoyo. |
MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula kwenye viwanja
vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Azza Hillal Hamad kwenye viwanja
vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Cecilia Daniel Paresso kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Basata yawataka waimbaji nyimbo za Injili kujisajili
……………………………….
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata)
limezidi kutoa wito kwa Waimbaji wa muziki wa Injili kujisajili katika
baraza hilo ili stahiki zao zitambulike inavyotakiwa.
Mkurugenzi wa ukuzaji Sanaa na
Mtukio wa Basata, Maregesi Kwirujira Ng’oko alisema waimbaji wengi wa
muziki wa Injili wa Tanzania kuzingatia hilo.
Ng’oko alisema kujisajili Basata kuna faida na fursa nyingi ambazo ni msaada ambao utasaidia kupata haki zao kupitia kazi zao.
Ng’oko alisema kwa kuwa wao ndio wasimamizi wa kazi za sanaa ni jukumu lao kuwakumbusha mara kwa mara wasanii kujisajili.
Aidha Ng’oko alisema wanatoa salamu hizo kwa wasanii pindi inapotokea mikinzano katika ufanikishaji wa kazi zao.
Naye Makamu Mwenyekiti wa Kamati
ya maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Abihudi Mang’era alisema wanafikiria
kuongeza msukumo kwa waimbaji wa muziki wa Injili kuhusu kujisajili
Basata katika baadhi ya matukio.
Mang’era alisema wanafikiria kutoa
elimu ya kujisajili Basata katika matamasha yao ama kusaka namna ya
kufanikisha utambuzi wa waimbaji katika baraza hilo.
SERIKALI YAOMBWA IKAMILISHE TARATIBU ZA UVUNAJI WA MSITU

Na. Ahmad Mmow, Nachingwea.
……………………………………….
Baadhi ya wananchi na viongozi wa kijiji cha Ngunichile, wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Wameiomba serikali kuharakisha na kukamilisha mchakato wa uvunaji wa msitu wa kijiji hicho.

Wananchi
na viongozi hao waliyasema hayo mbele ya timu ya waandishi wa habari na
maofisa wa Mtandao wa jamii wa usimamizi wa misitu (MJUMITA)
waliokwenda kijijini hapo juzi ili kuona mafanikio na changamoto za
uhifadhi misitu.
Waliiambia Lindiyetu.com urasimu ambao hawaujui unatokana nanini, umesababisha uvunaji wa mazao ya misitu kwenye msitu waliohufadhi uchelewe kuanza.
Bakari
Lilombo aliyejitambulisha ni mwanajamii, alisema kutoanza uvunaji
wakati miti imefikia umri wa kuvunwa kunasababisha baadhi ya wananchi
kukatatamaa kutokana na kutoona manufaa ya msitu huo.“Uvunaji
ungeanza ungeingiza mapato ambayo yangetumika kununua zana za kilimo na
kujenga visima vya vya maji, lakini kwa hali hii tunakata tamaa,”alisema Bakari.
Mzee
Hamis Malombe mwanajamii, alisema matarajio ya wananchi nikunufaika na
mapato ya mazao ya msitu huo wenye hekta 1800, kupitia huduma za jamii.
Hata hivyo wananchi wanakata tamaa na matarajio yao yameanza kutoweka.
Bi Maua Ntila, ambae ni mjumbe waserikali ya kijiji hicho, alisema mapato ambayo yangetokanana mauzo mazao ya msitu huo yangeweza kutumika kuchimba visima na kuboresha zahanati. Jambo ambalo lingekuwa ni ukombozi kwa akinamama wakazi wa kijiji hicho.

Hatahivyo
hadi sasa hawajaanza uvunaji, ingawa walitaraji uvunaji ungekuwa
umeanza tangu mwaka jana. Kwa upande wake, ofisa mtendaji wa kijiji
hicho, Selemani Soya, alisema hatua za awali za maandalizi ya uvunaji
zilishafanyika.
Ofisi
ya mkurugenzi wa wilaya ya Nachingwea iliwahaidi wangeanza uvunaji
mwaka jana mwezi novemba, hata hivyo hadi sasa hawajaanza kuvuna.“Tunapata shida ya kupambana na wavunaji haramu,maana maeneo mengi hayana miti” kwahiyo eneo lenye miti ni msitu huu, kama tungeanza uvunaji naamini wangeogopa na tungekuwa na nafuu sana,”alisema Selemani.
Akijibu
malalamiko hayo kwaniaba ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya
wilaya ya Nachingwea. Ofisa misitu wa halmasiauri hiyo, Paiton Kamnana,
alisema uvanaji umechelewa kuanza kwasababu kutokamilika baadhi ya
taratibu, nyaraka na nyundo.
Hata hivyo maandalizi yote yamekamilika, kwahiyo muda si mrefu uvunaji utaanza.
“Nyaraka zilishafuata wizarani,nyundo imeshapatikana pia.Ilikuwa jambo lisilowezekana kuanza uvunaji kabla ya kuwapa plan(mpango)”.

Utunzaji
wa msitu huo nimatokeo ya elimu iliyotolewa na mashirika yasiyo
kiserikali ikiwamo Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu
Tanzania(MJUMITA) kupitia mradi wa kampeni ya mama misitu kwa
kushirikiana na serikali.
WAZIRI KITWANGA: KAMATAKAMATA INAYOENDELEA KWA RAIA WA KIGENI NCHINI, HAITAGUSA WENYE VIBALI HALALI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga akizungumza na raia wa China wanaoishi nchini, katika
sherehe yao ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika katika Ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Waziri
Kitwanga alisema Tanzania inatambua ushirikiano mzuri wa miaka mingi
uliopo kati yake na China, hivyo raia yeyote wa kigeni anatakiwa afuate
taratibu za kuishi nchini, na operesheni inayoendelea ya kuwakamata raia
wa kigeni, kamwe haitagusa wenye vibali halali.
Kaimu Balozi wa China nchini,
Zhang Biao akizungumza katika sherehe ya raia wa China wanaoishi nchini
ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip, jijini Dar es Salaam, kabla ya kumkaribisha Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (hayupo pichani) kuja
kuzungumza na mamia ya wachina hao waliohudhuria sherehe hiyo. Katika
hotuba yake, Waziri Kitwanga alisema Tanzania inatambua ushirikiano
mzuri, wa miaka mingi uliopo kati yake na China, hivyo raia yeyote wa
kigeni anatakiwa afuate taratibu za kuishi Tanzania, na operesheni
inayoendelea ya kuwakamata raia wa kigeni nchini, kamwe haitagusa wenye
vibali halali.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Said Meck Sadick akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles
Kitwanga (kushoto), kwa kutoa hotuba nzuri iliyowafafanulia wachina
waishio nchini kuwa Serikali ya Tanzania inawajali na inatambua umuhimu
wa ushirikiano wao uliodumu kwa kipindi cha miaka mingi, hivyo raia
yeyote wa kigeni anatakiwa afuate taratibu za kuishi Tanzania, na
operesheni inayoendelea ya kuwakamata raia wa kigeni nchini, kamwe
haitagusa wenye vibali halali. Wachina waishio nchini jana walifanya
sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli
ya Golden Tulip na kuhudhuriwa na mamia ya wachina hao. Kulia ni Kaimu
Balozi wa China nchini, Zhang Biao.
Raia wa China wanaoishi nchini
wakishindana kula Tunda aina ya Tikiti wakati wa Sherehe yao ya
kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden
Tulip, jijini Dar es Salaam. Katika Sherehe hiyo ambayo Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (hayupo pichani) alikuwa mgeni rasmi
ilihudhuria na mamia ya raia hao wa China. Hata hivyo, Waziri Kitwanga
alisema raia yeyote wa kigeni anatakiwa afuate taratibu za kuishi
Tanzania, na operesheni inayoendelea ya kuwakamata raia wa kigeni
nchini, kamwe haitagusa wenye vibali halali.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga akiwapongeza raia wa China walioshinda mchezo wa bahati
nasibu walioucheza katika sherehe yao ya kuukaribisha mwaka mpya
iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, jijini Dar es
Salaam. Waziri Kitwanga katika hotuba yake alisema nchi yake inatambua
ushirikiano mzuri wa miaka mingi uliopo kati yake na China, hivyo raia
yeyote wa kigeni anatakiwa afuate taratibu za kuishi nchini, na
operesheni inayoendelea ya kuwakamata raia wa kigeni, kamwe haitagusa
wenye vibali halali.
Kikundi cha Karate kinachoongozwa
na raia wa China wanaoishi nchini kikitoa burudani katika sherehe yao ya
kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden
Tulip, jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles
Kitwanga (hayupo pichani) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika sherehe
hiyo, katika hotuba yake alisema nchi yake inatambua ushirikiano mzuri
wa miaka mingi uliopo kati yake na China, hivyo raia yeyote wa kigeni
anatakiwa afuate taratibu za kuishi nchini, na operesheni inayoendelea
ya kuwakamata raia wa kigeni, kamwe haitagusa wenye vibali halali.
Sehemu ya raia wa China wanaoishi
nchini, wakimsikiliza kwa makini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (hayupo pichani) wakati alipokuwa anatoa hotuba yake
kwa Wachina hao katika sherehe yao ya kuukaribisha mwaka mpya
iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, jijini Dar es
Salaam jana. Waziri Kitwanga katika hotuba yake alisema nchi yake
inatambua ushirikiano mzuri wa miaka mingi uliopo kati yake na China,
hivyo raia yeyote wa kigeni anatakiwa afuate taratibu za kuishi nchini,
na operesheni inayoendelea ya kuwakamata raia wa kigeni, kamwe haitagusa
wenye vibali halali.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
NAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA PAMOJA NA CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA MKOANI MWANZA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia)
akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na
Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji
Mstaafu Mark Bomani
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
(katikati) akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni
Bujora, kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu
Charles Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata
maelezo juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi wa
kituo cha Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akiangalia hesabu za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata
maelezo juu ya utamaduni wa kucheza bao kwenye kituo cha Utamaduni wa
kisukuma Bujora.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akiangalia zana mbali mbali za kiasili kwenye nyumba ya utamaduni
Bujora.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata
maelezo namna machifu walivyokuwa mashujaa na viongozi hodari.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya chuo cha Bujora
Wapiga ngoma wakipiga kwa ufahari ngoma mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Baadhi ya wageni wakiangalia ngoma mbali mbali zikichezwa kwenye kituo cha Bujora mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akihutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye kituo cha utamaduni
wa kisukuma Bujora ambapo aliwapongeza kituo hicho kwa kudumisha
utamaduni na kuahidi serikali itaendelea kukisaidia.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ambaye pia
amepewa jina la Chifu Sangeja( aliyeshika usinga) akiwa kwenye picha ya
pamoja na wasanii kutoka nchini Denmark ambao wanajifunza utamaduni wa
Kisukuma.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia
uwanja wa ndani wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya.
Sehemu ya jukwaa la kukalia la uwanja wa ndai wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba mkoa wa Mwanza.
Wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akifurahia jambo wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo cha maendeleo ya michezo, Malya.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na
wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambapo aliahidi kutatua
changamoto mapema.
wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo- Malya wakionyesha uwezo wao wa kimichezo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye .
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye
picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya mkoani Mwanza.
SERIKALI YAJA NA MIKAKATI MIPYA YA KUHAKIKISHA UTALII WA NDANI UNAKUA
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya
Utalii,Bi. Uzeeli Kiangi akisisitiza jambo wakati alipokuwa
anamkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja.
Generali. Gaudence Milanzi kufungua Mkutano Mkutano wa Kamati ya
Uwezeshaji Utalii ( Tourism Facilitation Committee- TFC) uliofanyika leo
Mpingo House jijini Dar es Salaam wa kujadili changamoto mbalimbali
zinazoikabili sekta ya Utalii nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii, Meja. Generali. Gaudence Milanzi ( kulia) akiwa na
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Bw. Deogratius Mdamu (kushoto)
wakimsikiliza Mjumbe ( hayupo pichani ) wakati wa Mkutano wa Kamati ya
Uwezeshaji Utalii ( Tourism Facilitation Committee- TFC) uliofanyika leo
Mpingo House jijini Dar es Salaam akiwa anazungumzia changamoto
mbalimbali zinazoikabili sekta ya Utalii nchini na kutoa ushauri ya
namna kuuimarisha Utalii wa ndani ambao umekuwa bado ni changamoto kwa
wananchi wengi kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini
Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya
Uwezeshaji Utalii ( Tourism Facilitation Committee- TFC) wakiwa
wanajadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Utalii nchini
kwa kutoa maoni, ushauri na ufumbuzi wa changamoto ikiwa na kuchangia
mikakati mbalimbali itakayowezesha kusaidia kuhamasisha Utalii wa ndani.
…………………………………………………………………….
Na Mwandishi wetu
Wakati nchi nyingi Afrika zikiwa zinafanya jitihada mbalimbali
za kuimarisha Utalii wa ndani ambao umekuwa ndo wa uhakika katika
kuiingizia nchi mapato hata pale majanga yanapotokea, Nayo Tanzania
kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuhakikisha kuwa Utalii
wa ndani unakua kwa kasi inayotarajiwa.
Baadhi ya Majanga hayo yanayoathiri Sekta ya Utalii ni milipuko ya magonjwa kama Ebola, matukio ya Ugaidi Kenya na kushuka kwa Euro ya Ulaya dhidi ya Dola ya Marekani.
Hivyo Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Wadau wa Utalii nchini wamepanga mikakati ya kuhakikisha kuwa Utalii wa ndani unakuwa tegemeo tofauti na sasa ambapo Watalii kutoka nje ndio wamekuwa wamekuwa wakitembelea hifadhi zetu kwa kiasi kikubwa.
Akizungumza kwenye Mkutano wa Kamati ya Uwezeshaji Utalii ijulikanayo kama Tourism Facilitation Committee ( TFC) uliofanyika leo Mpingo House jijini Dar esSalaam , Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili, Meja. Generali. Gaudence Milanzi na Utalii amesema maendeleo ya Utalii yanahitaji sana Utalii wa ndani kuimarika baadala ya kudhani kuwa vivutio vya utalii vilivyopo ni kwa ajili ya wageni kutoka nchi za nje.
Meja. Generali. Milanzi amesema Utalii ni sekta nyeti sana katika kuliingiza Taifa pesa za kigeni lakini hata hivyo ni sekta ambayo imekuwa inaathirika kwa haraka sana pindi majanga yanapotokea nchi jirani hivyo ni lazima jamii ijengewe utamaduni wa kutembelea vivutio vya Utalii ili kuweza kujihakikishia Watalii wa ndani wanakuwa wengi.
Baadhi ya mikakati iliyopendekezwa na Wajumbe wa kamati ya Uwezeshaji Utalii (TFC) ni kuwawezesha maafisa Utalii wa Halmashauri wanatengewa bajeti ya kutosha, wanajengewa uwezo kuhusu ya vivutio vya utalii vilivyopo kwenye maeneo yao pamoja na Idara ya Utalii kufungua ofisi kila kanda ili kuweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.
Aidha,viwanja vya ndege vilivyopo nchini viimarishwe ikiwa pamoja na nchi kuwa ndege zake kama ilivyo kwa nchi jirani kama Kenya na Rwanda
Awali , Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii,Bi. Uzeeli Kiangi alisema Mkutano wa TFC hutoa fursa za kuziibua na kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Utalii hivyo Sekta Binafsi zinawajibu mkubwa wa kuhakikisha changamoto zinazoikabili sekta zinatafutiwa ufumbuzi
Aliongeza kuwa Idara ya Utalii imekuwa ikishiriki katika maonesho mbalimbali ya kitaifa lengo likiwa ni kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa kutembelea vivutio vya Utalii nchini.
Aidha, Prof Wineastor Anderson amesema sekta ya Utalii imekuwa inakua lakini si kwa kiwango cha kuridhisha hivyo jitihada za kutangaza utalii ndani na nje nchi upewe uzito unaostahili kwa kuiwezesha Bodi ya Taifa ya Utalii inatengewa bajeti ya kutosha.
Wakati huo huo, Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Utalii Tanzania ( TCT) Bw. Richard Rugimbana, amesema Utalii wa ndani ili uweze kukua suala la elimu linahitajika kutolewa ili kuweza kuibadilisha jamii ipende kutembelea vivutio vya Utalii.
Naye Kamanda wa Polisi Jk Ndaki anayeshghulikia dawati la Utalii ( Tourism Police Unit) amewahakikishia usalama wao watalii wa ndani na nje ya nchi kutembelea vivutio vya Utalii bila hofu yoyote kuwa Jeshi la Polisi nchini lipo macho muda wote.
Baadhi ya Majanga hayo yanayoathiri Sekta ya Utalii ni milipuko ya magonjwa kama Ebola, matukio ya Ugaidi Kenya na kushuka kwa Euro ya Ulaya dhidi ya Dola ya Marekani.
Hivyo Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Wadau wa Utalii nchini wamepanga mikakati ya kuhakikisha kuwa Utalii wa ndani unakuwa tegemeo tofauti na sasa ambapo Watalii kutoka nje ndio wamekuwa wamekuwa wakitembelea hifadhi zetu kwa kiasi kikubwa.
Akizungumza kwenye Mkutano wa Kamati ya Uwezeshaji Utalii ijulikanayo kama Tourism Facilitation Committee ( TFC) uliofanyika leo Mpingo House jijini Dar esSalaam , Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili, Meja. Generali. Gaudence Milanzi na Utalii amesema maendeleo ya Utalii yanahitaji sana Utalii wa ndani kuimarika baadala ya kudhani kuwa vivutio vya utalii vilivyopo ni kwa ajili ya wageni kutoka nchi za nje.
Meja. Generali. Milanzi amesema Utalii ni sekta nyeti sana katika kuliingiza Taifa pesa za kigeni lakini hata hivyo ni sekta ambayo imekuwa inaathirika kwa haraka sana pindi majanga yanapotokea nchi jirani hivyo ni lazima jamii ijengewe utamaduni wa kutembelea vivutio vya Utalii ili kuweza kujihakikishia Watalii wa ndani wanakuwa wengi.
Baadhi ya mikakati iliyopendekezwa na Wajumbe wa kamati ya Uwezeshaji Utalii (TFC) ni kuwawezesha maafisa Utalii wa Halmashauri wanatengewa bajeti ya kutosha, wanajengewa uwezo kuhusu ya vivutio vya utalii vilivyopo kwenye maeneo yao pamoja na Idara ya Utalii kufungua ofisi kila kanda ili kuweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.
Aidha,viwanja vya ndege vilivyopo nchini viimarishwe ikiwa pamoja na nchi kuwa ndege zake kama ilivyo kwa nchi jirani kama Kenya na Rwanda
Awali , Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii,Bi. Uzeeli Kiangi alisema Mkutano wa TFC hutoa fursa za kuziibua na kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Utalii hivyo Sekta Binafsi zinawajibu mkubwa wa kuhakikisha changamoto zinazoikabili sekta zinatafutiwa ufumbuzi
Aliongeza kuwa Idara ya Utalii imekuwa ikishiriki katika maonesho mbalimbali ya kitaifa lengo likiwa ni kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa kutembelea vivutio vya Utalii nchini.
Aidha, Prof Wineastor Anderson amesema sekta ya Utalii imekuwa inakua lakini si kwa kiwango cha kuridhisha hivyo jitihada za kutangaza utalii ndani na nje nchi upewe uzito unaostahili kwa kuiwezesha Bodi ya Taifa ya Utalii inatengewa bajeti ya kutosha.
Wakati huo huo, Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Utalii Tanzania ( TCT) Bw. Richard Rugimbana, amesema Utalii wa ndani ili uweze kukua suala la elimu linahitajika kutolewa ili kuweza kuibadilisha jamii ipende kutembelea vivutio vya Utalii.
Naye Kamanda wa Polisi Jk Ndaki anayeshghulikia dawati la Utalii ( Tourism Police Unit) amewahakikishia usalama wao watalii wa ndani na nje ya nchi kutembelea vivutio vya Utalii bila hofu yoyote kuwa Jeshi la Polisi nchini lipo macho muda wote.

No comments :
Post a Comment