Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wadau wa kilimo na taasisi za
fedha wakati akizindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
(TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Vifijo
baada ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua rasmi Benki ya Maendeleo
ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe
Stephen Wasira, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya na viongozi na watendaji
wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar
es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe
Stephen Wasira, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya, Katibu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue, Mkurugenzi Mkuu wa TIB Bank Bw. Peter Noni na viongozi na
watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7,
2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere
jijini Dar es salaam.








No comments :
Post a Comment