John
Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight
Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal
na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Meneja wa Skylight Band Aneth
Kushaba AK 47 (kulia)
Meneja wa
Skylight Band Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na wenzake ambao ni
Sam Mapenzi(kulia) pamoja na Ashura Kitenge (kushoto)
Sugua sugua mpaka utakate ni nomaaaama saaanaa karibu leo kuna mambo mazuri ndani ya Skylight Band
Warembo nao hawakuwa nyuma
Mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga kwa raha zao.
Aneth
Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kubwa mbele ya mashabiki wake (hawapo
pichani) kwenye kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Waimbaji wa Skylight Band wakisakata rhumba
John
Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight
Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village
Masaki jijini Dar
Waimbaji wa Skylight Band wakiimba kwa pamoja moja ya nyimbo za bendi yao
Mwimbaji
wa Skylight Band Sony Masamba akiimba na kucheza pamoja na Aneth Kushaba
AK 47(kulia) pamoja na Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko
Flower(kushoto)
Hapa ilikuwa ni kusugua mpaka utakate tu, njoo leo ujifunze style ya kusugua mpaka ujue.
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani mbele ya mashabiki wao(hawapo pichani)
Ni mwendo wa Bolingo tu mpaka kuchweee
Rapa wa Skylight Band Sony Masamba akitoa burudani kwa hisia kali ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar
Binti
mrembo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge akiwapa raha
mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Sam
Mapenzi katika show yao ya Ijumaa iliyopita ndani ya koita cha Thai
Village-Masaki.
Rapa
mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na kucheza
huku waimbaji wenzake Sony Masamba (katikati) na Sam Mapenzi
wakisebeneka Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki
jijini Dar.
Skylight
Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha
Thai Village Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii
Mashabiki wakionekana kukunwa na burudani ya Skylight Band.
Waimbaji wa Skylight Band wakiimba sambamba na mashabiki wao ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar
Waimbaji wa Skylight Band wakizirudi sebene zilizokuwa zikiimbwa na Joniko Flower
Ni mwendo wa kuzirudi
No comments :
Post a Comment