Banda
la Mfuko wa Pensheni wa PPF, lililoko kwenye viwanja vya Maonyesho ya
Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam. PPF inashiriki maonyesho ya
38 ya biashara ya mwaka huu 2014 na inawakaribisha wananchi wote
kujonea na kupata taarifa ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo
Afisa
Michango wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Gloria Maboya, (Kulia),
akiwapatia taarifa za michango, wanachama wa PPF, waliotembelea banda la
Mfuko huo kwenye maonyeshjo ya 38 ya biashara ya kimagtaifa kwenye
viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Afisa
Michango wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Gloria Maboya, (Kushoto), akitoa
elimu kuhusu Mfuko huo, kwa mwanachama huyu aliyetembelea banda la PPF
lililoko viwanja vya Maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam
Meneja
Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele,
(Kushoto), akimkabidhi Mwnanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, taarifa
yake ya michango alipotembelea banda ya PPF, kwenye siku ya pili ya
Maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu
Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Mratibu
wa Kanda za Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mbaruku Magawa (Kushoto),
akimfafanulia Mwanachama wa Mfuko huo, kuhusiana na michango yake,
alipotembelea banda la PPF, kwenye siku ya pili ya Maonyesho ya 38 ya
biashara ya kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam
No comments :
Post a Comment