Mtaalam
kutoka Wizara ya Nishati, Shukrani Rugaimukamu akitoa elimu mwananchi
aliyefika katika Banda la Nishati katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya
Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Wataalam
mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati wakiwa katika picha ya Pamoja kabla
ya kuanza kutoa elimu kwa wananchi katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa
ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar
es Salaam. 
Mtaalam
kutoka Wizara ya Nishati, Mussa Abbas akitoa elimu kwa wananchi kuhusu
Sekta ya Nishati katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara
yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Wataalam
kutoka Wizara ya Nishati (kuanzia kulia), Arnold Shada, Jacob Mayalla
na Mwanamani Kidaya wakiwasikiliza wananchi waliofika katika Banda la
Nishati katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika
katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Wataalam
kutoka Wizara ya Nishati (kutoka kushoto), Jacob Mayalla, Shukrani
Rugaimukamu na Mussa Abbas wakimsikiliza mwananchi aliyefika katika
Banda la Nishati katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara
yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Mtaalam
kutoka Wizara ya Nishati, Jacob Mayalla (katikati) akitoa elimu kwa
wananchi kuhusu Sekta ya Nishati katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya
Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam.
*********
Wataalam
kutoka Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini ya Wizara, wameanza