Tuesday, December 1, 2020

Madini Kuchangia Mabilioni Kwenye Pato La Taifa


Na Jonas Kamaleki, MAELEZO
Tanzania imejaliwa kuwa na maliasili nyingi zinazoweza kuifanya nchi hii

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Yatoa Awamu Ya Tatu Ya Mikopo Ya Tzs Bilioni 11.04 Kwa Wanafunzi Wapya 3,544


Na Mwandishi Wetu,HESLB,
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya Awamu ya tatu yenye jumla ya wanafunzi wapya 3,544 waliopangiwa mikopo kwa

BODI YA BONDE LA WAMI-RUVU YAENDELEA NA ZOEZI LA KUSAJILI WATUMIAJI WA MAJI

fisa Maji wa Bodi ya Bonde la Wami-Ruvu, Simon Ngonyani akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za bodi hiyo leo Jijini Dar es salaam.

**************************************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Bodi ya Bonde la Wami-Ruvu wataendelea na zoezi la utambuzi wa watumiaji wa maji kwa kuwasajili ili ifikapo Februari 2021 waweze kuwa na namba ya uhakika ya watumiaji wa maji hapa nchini.

SERIKALI YAGUSWA NA JUHUDI ZA HUAWEI KUKUZA TEHAMA NCHINI

………………………………………………………………….

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk.Jim Yonazi amepongeza juhudi za Huawei za kuboresha ubora wa elimu ya ICT ili kuongeza ujuzi wa kuajiriwa kwa

RAIS DKT.MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiagana na Gavana wa  Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof.Florens D.A.M.Luoga (kati) mara baada ya mazungumzo na Uongozi wa Benki hiyo yaliyofanyika leo  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/12/2020. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) (kushoto) leo wakati walipofika kumpa pongezi na kuzungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/12/2020.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) (kushoto) leo wakati walipofika kumpa pongezi na kuzungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/12/2020. 

 

TAKUKURU DODOMA YAREJESHA SH MILION 11 ALIZOLIPWA MAREHEMU


Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Dodoma,Sosthenes Kibwengo,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma jinsi walivyofanikisha kufakisha mahakama ya Hakimu Mkazi watu wanne pamoja na kurejesha Serikali zaidi ya sh.11 ambazo alilipwa Marehemu

…………………………………………………………………………

Na.Alex Sonna,Dodoma

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kurejesha Serikalini zaidi ya shilingi milioni 11 ambazo  zililipwa kwenye akaunti ya benki ya

Turning a crisis into an opportunity in the skies

Emirates Airline Boeing 777-300ER planes at Dubai International Airport in Dubai, United Arab Emirates. / Net photo.

 

In a few weeks, business managers, boards, and auditors will sum up 2020, and the bottom line is pretty predictable. Covid-19 has affected every business and sector throughout the world, with entire