Sunday, October 1, 2017

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI CHA FANYIKA ZANZIBAR.

DSC_0157
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisisitiza jambo alipotoa hotuba katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
DSC_0017
Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
DSC_0076
Mzee Bibi Fatma Nyerere akisoma Risala ya Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
DSC_0100
Mkurugenzi wa Shirika la Kuhudumia Wazee Duniani(Help Age International)Smart Daniel akitoa hotuba kuhusiana na Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii
DSC_0108
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Fatma Gharib Bilal akitoa maelezo kuhusiana siku ya Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
DSC_0120
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi  katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
DSC_0132
Mgeni Rasmi Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Bihalima Pandu Mkaazi wa Jambiani Kikadini kitambulisho maalum kitakacho msaidia kwa sasa kupata Pensheni Jamii na kumrahisishia huduma mbalimbali za Afya na Usafiri katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.

Kenyans stage protests in US against Jubilee Government ahead of repeat presidential poll

Kenyans stage protests in US against Jubilee Government ahead of repeat poll (Photos)
Kenyans living in the United States have staged protests criticising the Government 24 days to repeat presidential election set for October 26. The Kenyans who reside in New York City protested against what they termed as bad governance from Jubilee led by President Uhuru Kenyatta.
ALSO READ: No way, Raila tells clergy on polls laws and planned demos The demos were held at the UN headquarters on Sunday. Kenyans in US protest (Photo: Courtesy) (Photo: Courtesy) Protesters at the UN headquarters (Photo: Courtesy)
 
Declaration by the protesters: 1) No reforms at IEBC no election. 2) Chiloba and his team must go. 3. President Kenyatta should stop mutilating our wonderful constitution. ALSO READ: NASA backers in protest to demand exit of IEBC bosses 4) Police brutality must end immediately. 5) IEBC servers must be opened. 6) Kenyans have a right to travel out and return to Kenya without restrictions. 7) Killers of Chris Msando must be apprehended. 8) Raila and Kalonzo must be protected. 9) Judiciary, Supreme Court judges must be respected. 10) Kenyans are the bosses.
ALSO READ: NASA backers in protest to demand exit of IEBC bosses 11) International community should prevail upon Jubilee administration to do the right thing.
The National Super Alliance (NASA) had announced its plan is to hold a major demonstration outside the UN headquarters. The protest was aimed to notify the international community the crisis facing Kenya since the nullification of President Uhuru Kenyatta’s re-election by the Supreme Court.
NASA presidential candidate Raila Odinga announced on Tuesday that protests aimed at forcing Independent Electoral and Boundaries Commission officials out of office would take place Mondays and Fridays. Speaking in Nairobi, the former Prime Minister reiterated that the Opposition would not rest until IEBC CEO Ezra Chiloba and 10 other officials vacate office.

PATA VICHWA VYA HABARI TOKA MAGAZETI YA TZ NA NJE OKTOBA 1, 2017

MSIBA FAMILIA YA EFM:RATIBA YA MAZISHI YA MTANGAZAJI WA E-FM RADIO DENNIS RUPIA



ABIRIA 500 WALIOKUWA WAKISAFIRI NA NDEGE YA AIR FRANCE WANUSURIKA KIFO, INJINI MOJA YAZIMA, NDEGE YATUA KWA DHARURA




NA K-VIS BLOG/Mashirika ya Habari
ABIRIA 500 waliokuwa wakisafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa, kutoka Paris kwenda Los Angeles, Marekanmi, wamenusurika kifo baada ya moja ya inji za ndege hiyo kuharibika na kuzimika hivyo kuwadfanya mapailot kutua kwa dharura nchini Canada.
ndege hiyo aina ya Airbus A380 ililazimika kutua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Goose Bay, Labrador, Mashariki mwa Canada Jumammosi Septemba 30, 2017 baada ya injini yake moja kuzimika.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa, ndege hiyo iliyokuwa na mruko namba 66 iliyoruka kutoka uwanja wa Charles de Gaulle, jijini Paris, ilikuwa na abiria 500, na moja kati ya injini zake 4 ilipatwa na uharibifu mkubwa wakati ikipita juu ya bahari ya Atlantic, maafisa wa ndege hiyo walisema.
“Pailot waliofunzwa vizuri na wahudumu wa ndege waliobobea, walifanikiwa kudhibiti hali hiyo na hivyo kuiwezesha ndege kutua salama na hakuna abiria aliyejeruhiwa.” Maafisa wa shirika la ndege la Ufaransa walisema.

TANZIA: EFM WAPATWA NA MSIBA, DENNIS RUPIA "CHOGO" AFARIKI DUNIA


"Uongozi na Wafanyakazi wa E-FM,TV-E kwa majonzi na masikitiko makubwa tunatangaza kuondokewa na Mwanafamilia Mwenzetu Dennis Rupia (Chogo),aliyefarika Dunia baada ya kuugua kwa kipindi cha muda mfupi.

Aidha kwa taarifa zaidi tataendelea kufahamishana taratibu za kumpumzisha mpendwa wetu kupitia vyanzo mbalimbali vya mawasiliano.

Hakika ni kipingi Kigumu kwetu,Wasikilizaji wa Redio na familia kwa ujumla tuendelee kuombea Mpendwa wetu" ,E-FM.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, RAMO MAKANI AFUNGUA KONGAMANO LA MAONESHO YA UTALII YA KARIBU KUSINI.

RAMO 2
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani, (katikati) wa pili kulia ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Jamhuri David, wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mara baada ya  kufungua kongamano la maonesho ya utalii ya Karibu Kusini yanayofanyika kwa mara ya pili  mjini Iringa. (Picha na Lusungu Helela- MNRT)
RAMO 3
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani, (katikati) wa pili kulia ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Jamhuri David, wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela wakiwa kwenye picha ya pamoja na Sekretarieti ya Waandaji wa kongamano mara baada ya  kufungua kongamano la maonesho ya utalii ya Karibu Kusini yanayofanyika kwa mara ya pili  mjini Iringa (Picha na Lusungu Helela- MNRT)
IMG_0427
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Walimu cha Kleruu wakifuatilia maada inayowasilishwa kuhusiana na Mradi wa SPANEST jinsi inavyoshirikisha wananchi katika masuala ya uhifadhi  mara baada ya kufunguliwa kwa...