Friday, January 6, 2023

GAVANA WA BoT PROF. LUOGA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA DAVID CONCAR


Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga, amekutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo kuhusu hali ya uchumi nchini, sekta ya fedha na maendeleo ya taifa kwa ujumla. 


 

No comments :

Post a Comment