Tuesday, November 22, 2022

RAIS SAMIA AZINDUA MTANDAO WA BARABARA ZA LAMI BABATI, PIA AZINDUA VIHENGE VYA KUHIFADHIA NAFAKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Babati Mjini mara baada ya kuzindua Mtandao wa barabara za lami za Mji huo Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Kondoa alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kwa ajili ya kuanza ziara ya kutembelea na kukaguwa miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi  tarehe 22 Novemba, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuashiria uzinduzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula katika hafla iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula katika hafla iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Ujenzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula katika hafla iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akikagua Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Tamisemi Anjellah Kairuki kuashiria uzinduzi wa barabara za lami za Babati mjini km 8.1 kwenye hafla iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Tamisemi Anjellah Kairuki, pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa barabara za lami za Babati mjini km 8.1 kwenye hafla iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.






Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Babati wakiwa kwenye ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

 

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Babati wakiwa kwenye ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

 


Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere akimtambulisha Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Bonga Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Vihenge na Maghala ya Kisasa ambayo yamezinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Vihenge na Maghala ya Kisasa ambayo yamezinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

No comments :

Post a Comment