MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KAGAME
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.
No comments :
Post a Comment