Wednesday, September 7, 2022

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA IFAD

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mteule wa Mfuko wa Ufadhili wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Alvaro Lario, Mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

No comments :

Post a Comment