Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo akiwa na ujumbe wakeRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo akiwa na ujumbe wake.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 05/07/2022.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kuliai) akiaagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment