Tuesday, June 28, 2022

RAIS DKT.HUSSEIN ALI MWINYI AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kulia)kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla uteuzi alikaimu nafasi hiyo.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Said Hassdan Said (kulia)kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla  alikuwa Mwanasheria Mkuu Awamu ya 7 Uongozi uliopita .[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Salma Ali Hassan (kulia)kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla alikuwa Mkurugenzi Mashtaka Zanzibar .[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Mohamed Ali Mohamed  (kulia)kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibarkabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.

No comments :

Post a Comment