Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe
Balozi Liberata Mulamula amepokea barua ya utambulisho ya Meneja Mkazi WA Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB Bi. Patricia Laverley kwenye ofisi ndogo za Makao makuu ya Wizara jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na mazungumzo yaliyojikita masuala ya maendeleo ya miundombinu, Biashara na Mazingira.
No comments :
Post a Comment