Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC Setholizwe Mdlalose (kushoto) akipokea maoni kutoka mteja wao, mtoa huduma kwenye Service Desk Uyole, Khadija Omary wakati wa ziara ya kuwatembelea wateja na kuangalia shughuli za masoko za kampuni hiyo jijini Mbeya
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose (kushoto) akisikiliza maelezo ya mauzo na hali ya soko toka kwa Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Nyanda za juu kusini, Ezekiel Nungwi (kulia) wakati wa ziara ya kuwatembelea wateja na kuangalia shughuli za masoko za kampuni hiyo jijini Mbeya.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Sitholizwe Mdlalose (kushoto) akimsikiliza kwa makini Yusuph Majaliwa (kulia) mmoja wa wateja anayetumia bidhaa ya Lipa kwa M-Pesa katika ziara ya kuwatembelea wateja na kuangalia shughuli za masoko za kampuni hiyo jijini Mbeya
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Sitholizwe Mdlalose (wa pili kushoto) akipokea maoni kutoka kwa dereva wa bodaboda wanaotumia huduma ya Lipa kwa M-PESA katika ziara ya kuwatembelea wateja na kuangalia shughuli za masoko za kampuni hiyo jijini Mbeya
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Sitholizwe Mdlalose (wa pili kushoto) akipokea maoni kutoka kwa dereva wa bodaboda wanaotumia huduma lipa kwa M-PESA katika ziara yake ya kuzungumza na wateja kanda ya nyanda za za juu kusini jijini Mbeya.
No comments :
Post a Comment