Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya ongezeko la Mshahara kwa Watumishi wa Umma, Serikali Kuu, Serikali za Mitaa na Taasisi zake ikiwamo Lima cha chini kwa asilimia 23.3%.
Rais pia amesikia Kilimo cha Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) la marekebisho ya kanuni mpya ya Mafao ya Pensheni ambapo Malipo ya Mkupuo ya asilimia asilimia 25% ambayo yalikataliwa na wadau mwaka 2018 sasa yapande hadi asilimia 33%, taarifa kamili ya Ikulu iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bi. Zuhura Yunus inafafanua zaidi hapo chini.
No comments :
Post a Comment