Mwanazuoni Mwandamizi Profesa Issa Shivji na Wakili maarufu nchini, Bi. Fatma Karume "shangazi" wamekuwa wasomi wa hivi karibuni kufika mbele ya Kikosi kazi cha Rais ambapo waliwasilisha maoni na mapendekezo yao kuhusu namna ya kuboresha mazingira ya demokrasia ya vyama vingi nchini mbele ya wajumbe wa kikosi kazi cha Rais chini ya uenyekiti wake, Profesa Rwekaza Mukandala.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment