Wednesday, April 6, 2022

WAZIRI MKENDA AZINDUA VITABU NA VIFAA MAALUM SAIDIZI KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI ,AIPONGEZA TAASISI YA ELIMU TANZANIA ,




Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Lugoba, Kuruthumu Moshi akisoma kitabu cha nukta nundu wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-MMG
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akipokea akizindua baadhi ya vitabu vya Kidato cha 1-6 vya Braille na Maandishi yaliyokuzwa kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu ya kutokuona na uoni hafifu nchini vilivyoandaliwa kupitia mradi wa mpango na matumizi ya fedha za maendeleo kwa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19



Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akipokea baadhi ya vitabu vya Kidato cha 1-6 vya Braille na Maandishi yaliyokuzwa kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu ya kutokuona na uoni hafifu nchini vilivyoandaliwa kupitia mradi wa mpango na matumizi ya fedha za maendeleo kwa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dk. Aneth Komba


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akipokea baadhi ya vifaa ikiwemo kmpyuta, digital voice recorder ikiwemo na mashine za kisasa za kidigitali za kuchapia maandishi ya kawaida kuwa ya Braille kwa ajili ya wanafunzi wasioona kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu (Elimu) Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akionesha moja ya Kompyuta  kati Kompyuta 72 na digital voice recorder 68 kwa ajili ya wanafunzi wasioona kuweka programu ya AVDA na kuweza kutumika kama Kompyuta za kawaida pamoja na 
Tablets 175 kwa ajili ya kupakia kamusi ya Lugha ya Alama ya Tanzania kwa ajili ya wanafunzi viziwi .

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda( wa sita kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wa Wizara hiyo wakionesha baadhi ya vitabu vilivyozinduliwa wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu (Elimu) Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo kabla ya kuzindua Bajaji 35 kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa viungo.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akizindua moja ya bajaji ambayo itatumika kwa walimu wenye mahitaji maalumu wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam.

MBUNGE wa viti maalumu mkoa wa Iringa Mhe.Rose Tweve akishiriki kuzindua moja ya Bajaji kati ya Bajaji 35 zitakazotumika kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa viungo.






No comments :

Post a Comment