Wednesday, April 6, 2022

MATUKIO YA WAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya mapitio ya mwelekeo wa kazi za serikali na makadilio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2022/2023 bungeni Dodoma leo Aprili 6, 2022.


Waziri Mkuu akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete kabla ya kuhutubia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Buchosa , Erick Shigongo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Nanyamba, Abdalah Chikota

Waziri Mkuu akijadiliana jambo na Mbunge wa Muhambwe Dk Florence Samizi.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments :

Post a Comment