Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jopo la Wazee la SADC (SADC Panel of Elders- PoE). Mhe Kikwete yupo nchini Afrika Kusini kuhudhuria Mkutano wa jopo la wazee na SADC Mediation Reference Group. Pichani akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. Gaudence Milanzi kwenye uwanja wa ndege WA Kimataifa wa OR Tambo.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


No comments :
Post a Comment