Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), kupitia taasisi yake ya Tulia Trust, amewawezesha mitaji ya kibiashara kwa wajasiriamali wanawake 601 wa Mkoa wa Mbeya yenye thamani ya jumla ya shilingi milioni 78.1 tukio hilo limefanyika Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini humo.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment