Kaimu Mkurugenzi Idara ya tiba Dkt. Caroline Damian akieleza jambo wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Waganga wa tiba asili, Jijini Dodoma.
Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa tiba asili na tiba mbadala Wizara ya Afya Dkt. Paul Mhame.
Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa tiba asili na tiba mbadala Wizara ya Afya Dkt. Paul Mhame.
Baadhi ya Waganga wa tiba asili walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo yaliyotolewa na Wizara ya Afya ili kuboresha huduma za tiba asili kwa wananchi, Jijini Dodoma
Dkt. Vumilia Ligie kutoka Wizara ya Afya akisisitiza jambo wakati akitoa mafunzo kwa Waganga wa tiba asili yaliyofanyika Jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment