Friday, February 4, 2022

SPIKA DKT. TULIA AWASILI JIJINI MWANZA KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA MIAKA 45 YA CCM MKOANI MARA

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (Mb) akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza ambapo anatarajia kushiriki katika maadhimisho ya kitaifa ya miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Mkoani Mara kesho Februari 5, 2022



Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (Mb) akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza ambapo anatarajia kushiriki katika maadhimisho ya kitaifa ya miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Mkoani Mara kesho Februari 5, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments :

Post a Comment