RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA EU-AU SUMMIT NCHINI UBELGIJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali Duniani wakishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika (EU-AU Summit) leo tarehe 17 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.
No comments :
Post a Comment